Usije kuta hii kodi ni maandaliza ya kukusanya fedha za kuwalipa mabwana wale

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,857
2,000
Nawaza tu maana hapa najua watazikusanya nyingi kweli kweli lakini tunaweza tusione impact yake kama zitakuwa zimelengwa kuwalipa wale jamaa tuliojidai kuwaonyesha ubabe.

Kwa hisi zangu huenda ni maandalizi/kujihami na balaa hilo linaloweza kutukumba huko mbeleni lengo hasa likiwa ni kujarubu kupunguza maumivu japo kidogo.

Yaani hapa ni just in case.

Nawaza tu jamani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom