Usije kudhani watu hawaoni

Kwa hako kamkono kako, wewe ni kafupi, keusi, kembamba.... mnakuaga visumbufu na vijuaji sana.
💃💃💃💃
Lamomy kuna jiwe huku nataka nirushiwe uje kuniokoa🤣🤣🤣
Hahahahahaha, kumbe kanaonekana hivyo🤣🤣🤣... Don't judge a book by the cover alaf u hiyo picha nime iedit mimi sio mweusi na sio mfupi..

Ila wajuba bwana

Aisee Nimecheka sana leo..
 
Kwa hako kamkono kako, wewe ni kafupi, keusi, kembamba.... mnakuaga visumbufu na vijuaji sana.
💃💃💃💃
Lamomy kuna jiwe huku nataka nirushiwe uje kuniokoa🤣🤣🤣
Nipo rada hakuna wa kukurushia jiwe 😹

Sema hivyo vidole kama mchapio wa cake 😹😹
Halafu watu wa hivyo wanakuwaga na mibichwa mikubwa kama jiwe fatuma..!!
 
Ndugu yangu
Kwanza sijui kwanini una amini una haters.
Hauna haters humu JF.

And because you keep thinking about that, it is obvious you created those haters in your head. In the real JF world, they do not exist. With all due respect, you do not need people's approval to be who you are, or who you want to be.

Alafu Haya unayoongea yanakuchora ww zaidi.
 
Nipo rada hakuna wa kukurushia jiwe 😹

Sema hivyo vidole kama mchapio wa cake 😹😹
Halafu watu wa hivyo wanakuwaga na mibichwa mikubwa kama jiwe fatuma..!!
Dah nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe, hii tunaita ukweli mchungu hua wana yale mabichwa tunaita bichwa ndonga, na ukiangalia hivyo vidole vyake kama tangawizi za mia mbili ni kama kambilikimo🤔😁
 
Mimi sioni shida Kuya sema maana I know me more enough...

Nahisi you know me better to know my motives, sio kwa ajili ya approval... It's an affirmation to me..

Hata hivyo, kuna mada pale chini mkuu soo essential kwa mjadala
 
Dah nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe, hii tunaita ukweli mchungu hua wana yale mabichwa tunaita bichwa ndonga, na ukiangalia hivyo vidole vyake kama tangawizi za mia mbili ni kama kambilikimo🤔😁
ila Mimi Nakujua.
Na Unapoelekea nadhan utaomba picha ya kile kidole kinachokaa pekeyake.
Kidole cha 21 .

Na Jamaa najua atakolea na atakutumia.
Shida sasa huwa anawatumia watu wenye majina yanayoanzia na Binti.
 
Dah nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe, hii tunaita ukweli mchungu hua wana yale mabichwa tunaita bichwa ndonga, na ukiangalia hivyo vidole vyake kama tangawizi za mia mbili ni kama kambilikimo🤔😁
Mimi huwa najiuliza daily hivi how can someone sit trying to pick someone's on the internet.. 😂 Yaani kama wakina lokole walivyomzodoa jux!

Hivi huwa mnakuwa timamu kweli? 😂 😂

Let me laugh today.
 
ila Mimi Nakujua.
Na Unapoelekea nadhan utaomba picha ya kile kidole kinachokaa pekeyake.
Kidole cha 21 .

Na Jamaa najua atakolea na atakutumia.
Shida sasa huwa anawatumia watu wenye majina yanayoanzia na Binti.
Aisee🤣🤣🤣
 
Je, Ulishawahi kuwa na malengo ila reality check kutoka nje ilikuvunja moyo na kuacha mazima?

Binafsi nikiwa na Malengo. Hasa makubwa, naweza hata nisiwambie watu. Na mengi yanakamilika.

Sihitaji mtu aseme naweza au siwezi.
Na kama nikishindwa ni somo nimejifunza.

Kwahiyo. Sihitaji wala siruhusu mtu aniambie ni ngumu au rahisi.
Kwasababu huo uguju au urahisi ni uwezo wake ndio umeuangalia na kuamua. Sio uwezo wangu.
 
Basi what works for you might not work for me...

Uko sawa kwa mtazamo wako..

Kila mtu ashinde mechi zake
 
All in all bado ni jeiefu expert memba
 
Basi what works for you might not work for me...

Uko sawa kwa mtazamo wako..

Kila mtu ashinde mechi zake
For sure.

90% ya dreams zangu ambazo sikuongea hadharani zimetimia..n 90% ya nilizoongea hadharani hazijatimia.

Take Note.

Alafu compare.

I dont need people's approval or opinion of who i want to be.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…