Usijaribu kuchumbia, kuoa nyumba ya washirikina

Ndio mana nikikutana na mwanamke mwenye chale mwilini mwake Ajue hata kama nlitaka mtongoza nahairisha,ikitokea sijaziona mpk tunakua wapenzi Siku tupo bed nacheza na mwili wake nikikutana na chale mahali,kesho yake nimemuacha.

staki kuelewa chale kaipata kwa kujua au kutokujua ila nikikubamba na chale mwilini mwako we dada unaesoma hii comment ujue nimekuacha kwenye mataa hata kama usiku ulikua na viuno kama samba mapangala,Nakuacha aseee.
😆😆bila shaka demu mwenye tattoo hauli mzigo!
 
Kama umeoa binti ambaye babaake kamla na ana wivu naye, tegemea kugongwa kila wakati ndotoni na mtu usiyemjua

Mkuu yaniapo Mimi ndo nagongwa na mtu nisiye mjua ndotoni au yeye mwanamke ndo anakuwa angongwa na mtu asiye mjua. Alafu inkuwa ni kweli kabisa au inbaki kuwa ndoto
 
Nilifunga ndoa na binti wa kisambaa mwaka2009,wtt wa kwanza waliokuwa mapacha walifariki trh moja lakini miezi miwili tofauti,tukabahatika kupata wtt mapacha tena wa kiume2011, 2014 nikapata binti na 2017 nikaongeza binti tena,mwaka 2019 nimegundua mke wangu licha ya kuhangaika kwa waganga kwa ajili ya kuwadhuru ndg zang pia ni mchawi alirithishwa na bibi mzaa mama yake.ni story ndefu sana ila mwisho nilimpa talaka.sasa ni kama nimejipalia mkaa manuksi vifungo na kila aina balaa vimeniandama,mwenye kuweza nisaidia kwa uwezo wa allah tasavali

Sent using Jamii Forums mobile app

Nicheki DM mkuuu
 
Back
Top Bottom