Usijaribu kuchumbia, kuoa nyumba ya washirikina

Dah! Bro mbona unapenda kuzunguka zunguka, mwambie avute Bangi kisha akawachane
Chumvi amwage kuzunguka nyumba (hili jibu nadhani hakuliona)
Bangi inatakiwa uvute, ukienda kuwachana huku unanuka Bangi ile harufu yake wachawi hawaipendi
Chumvi ile ya Mawe unamwaga kuzunguka nyumba yako

Jr
 
Ukioa/ukiolewa na mrithi mikoba ndoa haitadumu
Ukioa/ukiolewa na mpagazi.. Usiku utalala na gogo mchana utashinda na zombie /zezeta.. Aendako hakujulikani afanyalo halionekani
Ukioa/ukiolewa na mtumwa maisha yenu yatajaa dhiki.. Pesa mnapata lakini zinakoenda hujui

Jr
Mpagazi ndio nani, au ni mtu wa aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ndio iko hapa.. Lakini ukijua ni lazima uende ukawachane live.... Na ili kupata ujasiri wengi hutumia mmea ambao pia wachawi hawapatani nao kabisa.... Kingine kizuri ni yale matumizi ya chumvi ya mawe

Jr
Mkuu hapo kwenye matumizi ya chumvi ya mawe ni yapi tafadhali..?
 
Mkuu hapo kwenye matumizi ya chumvi ya mawe ni yapi tafadhali..?

Jr
 
Mkuu hapo kwenye matumizi ya chumvi ya mawe ni yapi tafadhali..?

Jr
 
Mmh hapo cha muhimu ni kusimama na Mungu tu ama atoe lock aende akamchane makavu live... Amwambie wazi kuwa mwanae akidhurika naye ajuandae kumfuata
Kuna mama mmoja huku mtaani kwetu hapendi wakwe zake(wa kike)..mkwe wa kwanza inasemekana kamuua yeye tena akiwa na kiumbe tumboni kisa tu mtoto wa huyu mama alimnunua gari mkewe Kama zawadi ya kumpatia mtoto..mama kachukizwa akaamua aue.

Mtoto wake akapata mwanamke mwingine nakumbuka mahari ilitolewa mwaka juzi tena kwa kulazimisha maana binti alikuwa na ujauzito na huyo mama hakuudhuria mahari alafu ni mtaa wa juu na chini..baada ya mahali binti akajiongeza kwenda kuishi kwa yule mwanaume. Mama mkwe kabana weeh mwishowe kaachia..ndoa imefungwa mwaka huu mwezi wa kumi .

Wananchi wanamwambia yule dada nae ajiandae maana yatampata Kama yalivyompata mke wa kwanza maana mama mkwe ameshaanza kuongea maneno yake.

Sasa sijui ana fanya yote sababu ya wivu na ukizingatia kijana wake anakazi nzuri na mshahara mzuri kiufupi ndiye wanaemtegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Mshana Jr,umepiga penyewe Leo,yaani nilipoona huu Uzi nikakamilisha niliyokuwa siyaamini.
Kwa bahati mbaya niliyoyabeba ndani ya moyo wangu nashindwa kuyamwaga hapa jukwaani maana baba mkwe yumo humu tena ni mtu maarufu humu.
Nina mshukuru Mungu napumua,niliapa mtoto wangu kamwe hata kuja kuoa/kuolewa familia nisiyo ihakiki.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana,kwenye baadhi ya kaya utakuta kuna kijumba kidogo,kama kijumba cha kuku hivi lakini hicho kijumba haruhusiwi mtu kufika au wanaita kijumba cha mizimu

Je hivi vijumba kazi yake nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom