Usiguse hawa wanawake

Usiguse hawa wanawake

BYTE

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
17
Reaction score
4
1.Ana mtoto na mtu mwingine
2. Amekaa single muda mrefu
3. Ameishawahi kua barmaid
4. Ni white au ngozi nyeupe
5.Ni mzuri kupitia kiasi
6. Ni model
7.Nk
 
No 1 haina nguvu sana, inategemea huyo mtoto kampata vp, au utufafanulie madhara yake.
 
Hapo namba 5 hunishawishi siwez kuoa zinjanthropus lazma ioe kitu kilichotulia na kimesimama.

Hayo mambo ya kutoombewa n maada nyingne kabisa wala havihusian.

Kama kthombwa hata kichaa anathombwa
 
Heeeeeeeeeeeeeeee!!!
hivi unawaambia wanaume hawa hawa ninaowajua mie au????????? tena ungejua soko la ma barmaid liko juu usingeropoka

na wao si wanawake lakini.. na wengine wanasifa nzuri kuwazidi wa maofisi
 
Heeeeeeeeeeeeeeee!!!
hivi unawaambia wanaume hawa hawa ninaowajua mie au????????? tena ungejua soko la ma barmaid liko juu usingeropoka

process ya kutongoza hadi kwenda kupiga mzigo ni rahisi zaidi Bar maid akishaonesha positive response unakuwa na uhakika na mzigo
 
aisee huwezi kunishawishi nisimguse mwananke namba 7 huyo ndio nimtakae mimi
 
Back
Top Bottom