jrmlaurence
Member
- Dec 2, 2010
- 80
- 57
tehe ndio maana nipo kama weweWote mliofungua humu, sura zenu mbaya kama mapumbu ya mbu
Twende twende twende,pua kama kijiti cha mshkakiii!!!
muone kwanza mwembamba hadi
ukisimama stand/kituoni konda wa daladala anasema hatupakii miwa kwa
daladala.
Na wewe domo kubwa la ALMAS