Usifungue Kufuli hovyo

Usifungue Kufuli hovyo

saasita

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
119
Reaction score
62
Mwanamke au binti wewe ni mzuri saana pale jamaa anapokua hajakuvua pichu . Ukilainika tu ukavua umekwenda na maji . Hata uwe mzuri vipi thamani yako itaporomoka ndio maana mwanaume anaweza kua na mwanamke mzur sana gf au mke lakini akatoka na mwanamke ambae haingii hata robo yako .

Tusichoshane nimemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom