Usifungue inaweza kukukera

Usifungue inaweza kukukera

Kitu cha kutahadharishwa kina mvuto wa kinamna! Nilikuwa nakula lakini simlaumu
mleta mada hata chembe, najilaumu mwenyewe.Hapa nilipo najizuia kutapika mpaka tumbo
linauma!
 
Kitendo cha kusema usifungue ndo umeharibu maana wanadamu tunawashwa kwa nini nisifungue?
 
Imenikatia mzuka wa kiroba changu ila ngoja ntingishie na fegi tu stim irudi
 
Back
Top Bottom