Usifungue hapa (Danger)!

Usifungue hapa (Danger)!

muhi

Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
51
Reaction score
19
Ebo!!!!!!, wee si nimekwambia usifungue? Kama ningeweka sumu je, si ungeshakufa? Nyie ndo mnachunguliaga siri za watu. Siku nyingine usirudie tena!!!
 
Mara nyingi mswahili anakuwa na shauku ya kujua kile anachotakazwa kukifanya. Sirudii tena.
 
Me wala sijafungua, ila nilikuta mlango uko wazii ndio nikaingia.
 
Yaani ile tu nataka kufungua moyo wangu ukakataa kabisa Dah! Nnabahati.
 
Back
Top Bottom