youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,827 Reaction score 3,910 Friday at 5:56 AM #1 Kama ungeweza kurudi miaka mitano nyuma, ni kosa gani moja la kimaisha au kibiashara ambalo usingelirudia tena? Tuambiane kwenye comments. Huenda somo lako likamsaidia mtu mwingine asiingie kwenye mtego uleule.
Kama ungeweza kurudi miaka mitano nyuma, ni kosa gani moja la kimaisha au kibiashara ambalo usingelirudia tena? Tuambiane kwenye comments. Huenda somo lako likamsaidia mtu mwingine asiingie kwenye mtego uleule.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,811 Reaction score 55,585 Friday at 8:17 AM #2 Haiwezi rudi
khamis kilo JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 1,225 Reaction score 1,549 Friday at 8:28 AM #3 Huu uzi una wahusu watu wa kuanzia umri gani (miaka)?.
SamuraiJack JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 465 Reaction score 744 Friday at 8:49 AM #4 Nisingeonja kabisa pombe
DCI Comrade One JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 919 Reaction score 1,318 Friday at 8:52 AM #5 Ndio ishapita hiyo irudishe Kwanza uone majuto 😬
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,838 Reaction score 113,249 Friday at 8:56 AM #6 SamuraiJack said: Nisingeonja kabisa pombe Click to expand... Shindwa.....🤨
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,511 Reaction score 138,391 Friday at 9:04 AM #7 Itasaidia nini sasa na wakati ulishakosea? Cha msingi tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa yetu ya awali ili kujiepusha kuyarudia tena.
Itasaidia nini sasa na wakati ulishakosea? Cha msingi tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa yetu ya awali ili kujiepusha kuyarudia tena.