little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
asiumie sana!!!!!!!!!!
watu mpaka walianza kufanana mkuu usifanye mchezo!!!!
hali inakuwa mbaya pale atakapotaka kufanya kitu ambacho alifanyiwa na mwenzie halafu anakumbuka hayupo!!!
jamani mapenzi haya!!!!
pesa just peace of paper bt ina nguvu ya kubadilisha mfumo mzima....
yule mke wa mutu yeye atafute mnyonge mwenzie
pia mwambie atafute demu wa type yake mtoto anahitaji pesa yeye hana watoto wazuri ataishia kuwaita shemeji
sasa hivi atafute pesa sana
kumbe muvi bado haijaharibika!! jamaa ajitose kwenda kuomba kazi....na akikosa sijui itakuaje!!!?mzee kwani anamjua!!! hamjui jana kwenye harusi tulimzuia mshikaji hakuna vurugu mzee aliyoshuhudia labda aambiwe na mkewe!!!
za asubuhi wana MMU.
jamani nilichokiona jana nimeshindwa kukiamini ila inabidi tu niamini....
kuna rafiki yangu ana mpenzi wake kiukweli walipendana yaan hata mimi niliyapenda mapenz yao hadi wakaanza kufanana!! ila yule msichana amesoma hadi form 4 akapata zero na jamaa yeye aliishia la saba kwa hiyo maisha matamu hapo.
Shetani mbaya sana kutokana na uzuri wa msichana kuna babu mmoja ambaye ukweli pesa anazo akija ni full mashauzi kila siku gari mpya za hatari sana suti zisizogusika na mengineyo! kamposa msichana na hatimaye amemuoa.
Siku ya ndoa vijana wa karibu na rafiki yetu tulipata kazi ya kujitolea maana ilibidi tulipwe jamaa kataka kuanzisha bonge la vurugu harusini na alivyo kipande kumzuia shughuli pevu.
Ila hatimaye ndoa imefungwa mke kachukuliwa jamaa kabaki analia kama mtoto gheto. Jamani pesa nimeivulia kofia.
likikukuta wewe unafanya nn maana jamaa anataka ushauri jinsi gan atamrudia mpenzi wake.
Nawasilisha
Hata akimpata mzuri, bila kumpa pesa ni sawa na kuwa na uwalaza bila elimu.....utaishia chomwa jua tu
Na,akitakfuta pesa akaikosa atajiua bure...bora akubali yaishe..
me namshauri akatafute pesa tu, ikibidi akaombe kazi kwa mzee, mzee akitoka anajikumbushia na mpenzi wake......
mmmh patamu hapo!!
amrudishe wa nini? nyie si ndio mnasemaga wanawake wengi tu? au wamepungua ghafla?
asiumie sana!!!!!!!!!!
watu mpaka walianza kufanana mkuu usifanye mchezo!!!!
hali inakuwa mbaya pale atakapotaka kufanya kitu ambacho alifanyiwa na mwenzie halafu anakumbuka hayupo!!!
jamani mapenzi haya!!!!
Hayo ni maneno tu ya kufarijiana.
Kama huna pesa, wanawake wote wazuri utaishiwa kutuita shemeji.
Duh kama namuona jamaa anavyo ugulia maumivu,malipo ni hapa hapa duniani na kama demu alimkimbia mshikaji kisa hela basi akumbuke huko alikokimbilia kuna mawili anaweza akawa anafaidi pesa za huyo jamaa au akawa hana amani na ndoa yake na pesa zote akaziona sikitu,mshikaji atulie tu amuombe mungu yote yatapita na atapata mwenye real love kwake