Usifanye mazoezi mazito baada ya miaka 35, Unajiua mapema

Usifanye mazoezi mazito baada ya miaka 35, Unajiua mapema

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,905
Reaction score
14,674
Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana, hata wachezaji wakifika miaka 30 ni ngumu kukubaliwa kucheza professional football majeraha huchukua mda mrefu kupona na utimamu wa akili hua pungufu

Kwa wale ambao bado mko chini ya 35 jitahidi sana kuzingatia mazoezi kama umri wako ni zaidi ya 35 mazoezi mepesi yanakua bora zaidi kwan mwili hurekebisha sehem chache sana, pia zingatia masaa 8 ya kulala na kupunguza ama kuacha kabisa pombe

Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana, hata wachezaji wakifika miaka 30 ni ngumu kukubaliwa kucheza professional football majeraha huchukua mda mrefu kupona na utimamu wa akili hua pungufu

Kwahiyo maulid kitenge na zile mbio zake anajiua tu?!
 
Labda mwili kutokuwa na utimamu hapo sawa,ila kuhusu akili unafeli, umri mkubwa unakuwa na experience nyingi za maisha na ndio ufahamu wa mambo mengi upo hapo
hapana ukiwa umri umeenda hauwezi kuendana na kasi ya dunia, ndo maaana wanaitwa vijana zaidi kwenye kazi zinazohusiana na utandawazi
 
Uko sahihi kwenye kiwango cha mazoezi. Hata kukimbia isiwe kupitiliza maana huwa inaleta shida kwenye magoti. 5km to 10km inatosha sana.
kama ulikua una mazoezi toka mwanzo kukimbia hakuwezi kusumbua
 
Back
Top Bottom