Usiendekeze mwanaume

"Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!"

It's vice-versa is true. USIENDEKEZE MWANAMKE
 
Skia mkuu hakuna mwanaume anataka kutunzwa na mwanamke. Kila mwanaume anataka kumtunza mwanamke wake. Tatizo linakuja pale mabinti wanapokua hawatosheki na wanachopewa. Wanaume wanajitahidi sana kuwapa kwa kadri ya uwezo wao ila mabinti wanataka wapewe kama anavyopewa flan.

Mabinti wa siku hizi wamekua na unlimited wants, bila kujali uwezo wa anaye mpatia. Binti umemtongoza jana leo anataka uanze kumhudumia. Ndio hapo mwanaume anajiuliza sasa huyu kwani alijua nitamtongoza leo ili nimpe hela ya kusuka? Mwanaume anaona chaka bovu hili anaacha nyoya.

Mabinti wamekuwa ombaomba sana tofauti kabisa na zamani
 
Pole mleta mada.
Wamekupunyua halaf hawaku cash 🀣🀣🀣🀣🀣.
Halaf kwan unauza?
Wewe wanawake wenzio wanapambana kufanikiwa wewe unawaza kuhudumiwa..unatala uvishwe pampasi au??
 
Sasa figo ushaona ngombe anakamuliwa bila kushibishwa. Usipomjali mwanaume usitegemee atakuhudumia.
Kama hauendekezi mwanaume jihudumie mwwnyewe ham ikija mtafute wa kukutoa nyge then achana naye enddelea na maisha yako
 
Kweli ndugu hayo nayo yanachangia
 
Wanawake wa siku ni WA ovyo sana.

Usimuone huruma mwanamke.

Labda awe mama yako au mwanao.

Otherwise usimuone huruma kabisaaa!!
 
Mbi mazoea yamezidi sasa
 
Kupenda na kuhudumia ni vitu viwili tofauti...

Kwanza hata dyudyu ni huduma toshelevu
 
Kwenye uboyfriend na ugirl friend usitegeemee kuhudumiwa jifunze kujihudumia mwenyewe na uache kuwa na mentality iyo utahudumiwa ukiwa kwenye ndoa yako usiponde be wanaume hawahudumii, wakati mwenyewe kujihudumia uwezi kazi kupiga mizinga mwanaume ambaye hajakuoa TAFAKARI NA UCHUKUE HATUA
 
Kweli ndugu hayo nayo yanachangia
Mkuu raha ya kuwa mwanaume ni kumpa mwanamke wako, na huwa raha zaidi ukimpa na akasema asante ile inayotoka moyoni. Huwa inakupa nguvu ya kutafuta ili umpe tena.

Tatizo lao siku hizi ukimpa hiki anataka na kile na kile. Mbaya zaidi anaanza kukulinganisha. Ooh, yule ana kile na mm naomba. Ukijiangalia wewe mwenyewe ndio kwanza unajitafuta, bado unaweka misingi yako ya kiuchumi. Sasa ndio hapo unaona haina haja hata ya kiwapa, unaacha kabisa ili kutunza tu kibunda chako, maana hawana shukrani.

Nakupa mifano miwili mkuu. Wa kwanza iangalie nyimbo ya Mond "yatapita" ile sehemu mond kamletea tule tu gauni twa mtumba yule binti. Yule binti alionekana kuvifurahia kabisa. Ile hali inampa nguvu mwamba ya kutafuta na kumpa zaidi ya kile.

Pilk mimi mwenyewe niliwahi kuwa na manzi mmoja mwaka 2018 ile. Wakati namtongoza alikua anafanya kazi stationary, binti akawa hanitaki. Baada ya muda kazi iliota mbawa maishq yake yakaenda kombo. Binti akaanza kuwa karibu na mm, badae akanikubalia. Wakati huo life limemchapa hadi sim kauza, kachoka ile mbaya

Nikaanza kumhudumia arudi kwenye ubora wake. Nikamnunulia sim ya kwanza kiswaswadu ili awe hewani tu. Kila jmosi nampa hela ya salun jpili church. Binti akaanza kunawiri. Akafungua ka biashara ka chipsi akaweka kijana, akaniomba nim boost mtaji, nikampa.

Baadae nikaona nimnunulie smartphone nikamnunulia akaachana na kiswaswadu. Kumbuka mkuu nafanya hayo yote kulingana na uwezo wangu. Kuna siku moja akaniambiaje, "nakmba na mm uninunulie sim sim kama hako" nilikua na samsung s9+ wakati huo 2019 ilikua big deal.

Ndio hapo sasa nikaona huyu haridhiki. Sasa vitu kama hivi mkuu ndio mtu unaona bora nitunze kibunda changu tu
 
Wazee wa 0713/0654 wamekufunza mengi sana 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…