Usiendekeze mwanaume

Kwakweli πŸ˜€kuachwa mbona hata wenzie tunaachwa tu ajikaze apige moyo kondeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sija achwa sina kasoro hiyo mie ya kuachwa nikiona kunadalili za mwanaume kuwa na mtu nampe kibuti
 
Anakuwepo yule ambaye anangojea jibu la ndio au hapana
Basi nawe sio muaminifu.
Ukiwa na mtu, hapatakiwi awepo mwingine pending… huu ndio uaminifu wa πŸ’―

Ili siku ukiachwa/ acha, ubaki singo usubiri mahusiano mengine. Ila kama ukiachwa/ acha unamvuta mwingine chap chap maana yake alikuwepo huyu wakati bado uko kwa mahusiano πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukishataka mwanaume akuhudumie, umeshamuendekeza mwanaume.

You are contradicting yourself.

Kama kweli unataka kutomuendekeza mwanaume, usitake hata akuhudumie.
 
Ila unawaponda sana wanaume be positive ukiwaza mema nayo yatakufuata
sidhani km wanaume wote ni wabaya kiasi hiko kunawanaume ni wanaume haswa
In this world, u get what u attract.
 
Huyo slikuwa anatuma maombi ninshida ukimjibu baadanya kuacha kiumbe wa mtu
 
Umri umeenda huolewi umezeeka huna mvuto utaachaje kuwa na stress kama huyu kiumbe
 
Bas acheni kupenda pis kali kama hamuwezi hudumia
Huduma gani tena ,kila mtu ajihudumie kwani kwenye kustareheka kuna anaye starehesha tu pasipo kupata starehe hadi asitahili huduma?

Utahudumiwa ukizaa,kwa sasa tuliza mshono bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…