Usiendekeze mwanaume

Kiukweli wanaume mmebaki wa kuhesabia tu

Sijui Nini kimesababisha haya
 
Ila unawaponda sana wanaume be positive ukiwaza mema nayo yatakufuata
sidhani km wanaume wote ni wabaya kiasi hiko kunawanaume ni wanaume haswa
Mngekuwa wote mna mawazo haya na kuyaishi hakika dunia ingekuwa ni sehem salama sana kuishi.
 
Sema na wewe !
 
Its all about priorities.

Wewe priority yako ni kupewa pesa, simu kali, yani kuwa spoiled ndiyo uone kweli una mwanaume.

Lakini kaa ukijua bado uko gizani.

Kuna wenzio walishatoka kwenye hizo level, wanapewa kila kitu, na priority zao ni kuolewa lakini wanaume walionao hawana habari na kuoa.

Kuna wenzio wanajiweza kwa kila kitu, priority zao wapate walau wanaume wanaojielewa ila hawawapati au wanapata wanaume vituko.

Wewe unavyowaperceive wanaume, ni tofauti na wenzio. Hivyo usiconclude kwamba "Wanaume wako hivi ama vile.

Dont think in one sided way.
 
Depal nlikuomba umtafutie huyo mwenzio kazi ya kufanya au ikibidi umtafutie wataalamu wa saikolojia..
Haiwezekani kila siku ni kukejeli wanaume.
Kuna mwanaume mbaya mmoja alimtenda huyu, si bure ๐Ÿคฃ kila siku kuwakanda huku lazima pawepo sababu.

Aje huku Sindiga tutafute mafuta
 
Kuna mwanaume mbaya mmoja alimtenda huyu, si bure ๐Ÿคฃ kila siku kuwakanda huku lazima pawepo sababu.

Aje huku Sindiga tutafute mafuta
Yaani hakuna asopotia misukosuko katka mahusiano na hata maumivu lakin mwenzetu hapana aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yaani hakuna asopotia misukosuko katka mahusiano na hata maumivu lakin mwenzetu hapana aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanasema wanaume wote ni dog. Ila wa mwenzetu hapa atakuwa alikuwa ni kijiko, amemchota chota sana ndio maana hajamsahau ๐Ÿ˜‚
 
Anapata anaemstahili kutokana na jinsi alivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ