Usiendekeze mwanaume

Mwanamke lini alishawahi mpenda mwanaume kitu anachojua mwanamke ni kujipenda na kupenda watoto alio wazaa ndio maana mwanaume akifulia mwanamke anamkimbia
Ni uongo uho
 
Mi ninachojuaga unataka tu attention kutoka kwa wanaume...ila sio kwamba unawachukia kama unavyondika hapa..coz once hauwezi kukiongelea sna unachokichukia
 
Mwanaume ni kama maji,

Usipomnywa utamuoga
 
Unateseka ukiwa wapi sistangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…