Usidharau wembamba wa reli...

Usidharau wembamba wa reli...

Weka neno

Nani anataka mambo ya kupanda kitandani na tochi na kuanza kuuliza "ipo wapi mbona siioni" unajibiwa aah bwana si hapo katikati ya miguu?" unasema .."mi mbona naona nyama tu" unaambiwa "kwani umeambiwa hapa butcher? kama huioni basi!"
 
Reli siku zote ni nyembamba ila sifa yake inatokana na mataruma yake!!!
 
Mashine kubwa hiyo, dereva kazi anayo
 
Duuuuuh, hilo intercooler Turbo 4X4 by Far, yaani Nne mara nne mara mbali.
 
gari lina mzigo wa kutosha afu dereva anatakiwa alifikishe kitonga, unahitaji uzoefu kazini
Mkuu Mussolin gari za namna hii huwa hazina safari ndefu bali ni fupi sana na kufikisha mzigo huwa si kazi ukipiga gia vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom