Usidhani wanawake wenzio wanakupenda

Ni mwanamke gani anaweza kuwa na watoto saba kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu? Hakuna wamlaumu yule alowaagiza wafyatuane maana Elimu ni bure.
 
Dume zima unakuwa limbeya namna hiyo kweli??? ndo maana ke wamekukataa ...hata kama hawampendi mama ni kawaida ya sisi wanawake ndo tulivyo wewe yanakuhusu nini??.......

tumchukie sisi weye unyanyue Mbupu hizo? tena bila aibu mchana kweupee waambie wapamabane na hali zao mambo ya kutegesha maku upate naniliu ufurahie then uje kumchukia Rais?? Loool!

Rais ndo aliye kutuma kutegesha ili ugeme??? uzazu wa mpango hawaujui?? wewe huna akili km hiyo naniliu yao......
 
Acha uongo wako hapa na kudanganya watu hapa, sijuwi mikoa gani unayoisema na uliyoamua kuisemea uongo wako hapa,

Mh Rais anapendwaa Sana Tena Sana kwa namna anavyofanya kazi zinazowagusa moja kwa moja

Wanampenda kwa kuwa mama yetu mh Rais amesogeza huduma za Afya karibu yao kwa kujenga vituo vya Afya na zahanati, hivyo kuwapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma, Sasa hapa kwanini wasimpende,

Wanampenda pia kwa kuwa amepelekea maji Hadi vijijini na Sasa hawaamki alfajili kwenda kupanga foleni ya maji, badala yake wanakwenda muda wanaotaka maana wanauhakika wa maji tena yaliyo karibu na Kaya zao

Wanampenda kwa kuwa kupitia halmashauri na vikundi vya akina mama walivyojiundia wanapewa mikopo ili wafanye shughuli zao za kujiongezea kipato na kuondoa utegemezi,

Wanampenda kwa kuwa wanaona hata wakienda hospitali wanapokelewa vizuri na kuhudumiwa vizuri Sana bila shida Wala kubaguliwa

Wanampenda maana wanauhakika wa watoto wao kupata Elimu bure mpaka kidato Cha sita na hata baada ya hapo watoto wao wanauhakika wa kupewa mikopo ili waendelee na Elimu ya juu

Wanampenda kwa kuwa wanaona juhudi za mh Rais katika kila eneo linalowagusa wanakuta mikono ya mh Rais ipo

Kuhusu sijuwi watoto Saba hiyo Ni mipango ya mtu ya kuwa na watoto wangapi na mh Rais hawezi akaenda kumpangia mtu idadi ya watoto, atakachofanya Rais Ni kutoa ushauri juu ya uzazi wa mpango kulingana na uchumi wa mtu katika kuhudumia familia yake

Nakushauri tu amka katika ndoto hiyo unayoota hapo ulipo lala usingizi wa pono, mama Samia suluhu Hassani ndio habari ya mjini kwa Sasa, ndio tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na kuwainua kiuchumi
 
Duh! Yaani Samia kaingia juzi tu ndo wanawake wamezaa mara 7!!

Anyway acha wamchukie tu lkn wajuze kuwa wapo na wampendao pia. Wao wavumilie tu akitoka atakuja huyo wanayempenda
Hakuna!! wacha wamchukie tu hawana impact yeyote nchini!! wanaume ndo wenyewe ke tu hawezi fanya kitu!! aongozeeeee mpaka kieleweke tuta muongezea miaka kumi na tano zaidi!
 
Mwehu wewe, nenda kazikwe na dikteta
 
Hata Yesu hawakumtaka,,,,mtoa mada ni hulka ya mwanadamu.
 
Ngoja nimalize ubishi, hakuna kiongozi yeyote atakayetolewa na ccm atakayefaa hata awe na jinsia zote mbili, itakuwa ni kazi bure tu.

Nchi gani inatawaliwa na chama kimoja miaka yote hiyo huku kikiiba tu kura kwa sababu kinaogopa kisipoiba kura hakiwezi kuwa madarakani.
 
Mamiii Rais! kama unanisikia huko uliko ''wewe chapa kazi tu! hawa viroporopo! niwachiye Mimi!..nawajua hawa wanataka teuzi tu hawana lolote!...tena ni wau wako wa karibu tu!
 
Asaivi mafuta ya kuoa ni elfu 20 Hadi 25 unataka kutuambia nini
 
Lini ulipiga kura yako na ukakuta imeibiwa na ulijuaje Kama iliibiwa, yaana unaunga mkono uongo wa mtoa mada, watoto azae mtu mwenyewe halafu lawama anataka Apewe mh Rais, hapo bila Shaka mtoa mada ana tatizo linalomsumbua kichwani,kwani hao watoto wengi alila zimishwa kuwa nao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…