Ulimwengu mzima unapambana kuusimika ufalme wa Shetani (satanic empire). Ulimwengu au dunia ambayo uzinzi, ulawiti, unyanyasaji kingono, starehe zisizo na mipaka, ushoga, kamari, dhulma na uchafu wa kila sampuli n.k n.k vitaeneo kote ulimwenguni pasi na upinzan wowote ule kutoka popote pale. Dunia ambayo mambo ambayo yanachukiza katk jamii yatakuwa halali.
Dini pekee yenye nguvu ya kukemea na yote haya ni Uislam, Kwahiyo target ya kuusimika ufalme wa shetani ni kudidimiza mataifa yote yenye waislam wengi na kuchochea Vita ndani yao.
Kwa upande wa ukristo mambo hayo kw sasa ni swala la muda tu mana kanisa na ukristo umeshakubali yote hayo. Mashoga saiv wanafungishw ndoa kanisani, ulawiti na unyanyasaji kingono umeshamir na yote nilioeleza Hapo juu.
Kupitia kivuli cha UN, mauaji yote yanayoendelea huko yanatekelezw kwa mpango maalum.
Kila Rais wa marekan lazima amuue Kiongoz yoyote mwenye ushawishi mkubwa.
Bushi alimuua Saddam
Obama alimuua Gaddafi
Tusubir Trump naye atammaliza nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka nishangae. Hivi mkristo usie jua hakika ya kitabu chako, inakuwaje unaanza kuuzungumzia Uislamu ? Ndio maana umeosea sana.WALIO JUA SIRI HII WAMEWEKA TUMAINI LAO KWA MUNGU NA UJIO WA YESU KWA MARA YA PILI.
Ukisoma Quran hizo ndio hadith zilizomo kwenye hicho kitabu.. Ukweli kuna miujiza fulani aliyoifanya Yesu haikutajwa kwenye Biblia lakini imeetajwa kwenye Quran Biblia inamweleza Yesu akiwa mtu mzima,keshapata utume, haimwelezei alipokuwa mdogo.. Mfano, Yesu alipokuwa ana miaka kumi na mbili alikuwa akicheza na watoto wenzake alikifanya kinyago cha udongo kikageuka NJIWA, Njiwa akaruka kwa keleke, hamna Kisa hichi kwenye Biblia Kama unajua kusoma Kingereza, habari hiyo hapo chini.. |
Wewe sio wakujibiwa maana hujui kuwa hujuiNilitaka nishangae. Hivi mkristo usie jua hakika ya kitabu chako, inakuwaje unaanza kuuzungumzia Uislamu ? Ndio maana umeosea sana.
ISA WA QURAN KAZALIWA CHINI YA MTENDE WAKATI YESU WA KWENYE BIBLIA KAZALIWA KWENYE ZIZI LA NG'OMBE
Ukisoma Quran hizo ndio hadith zilizomo kwenye hicho kitabu..
Ukweli kuna miujiza fulani aliyoifanya Yesu haikutajwa kwenye Biblia lakini imeetajwa kwenye Quran
Biblia inamweleza Yesu akiwa mtu mzima,keshapata utume, haimwelezei alipokuwa mdogo..
Mfano, Yesu alipokuwa ana miaka kumi na mbili alikuwa akicheza na watoto wenzake alikifanya kinyago cha udongo kikageuka NJIWA, Njiwa akaruka kwa keleke, hamna Kisa hichi kwenye Biblia
Kama unajua kudo a Kingereza, habari hiyo hapo chini..
View attachment 1352629
Hawahawa kina wema sepetu na kina amber rutty?Sawa,kawadanganye na wadogo zako wa la tatu B kishamapanda shule ya msingi.
Mimi nina madem watatu wa kiislam nawabandua kama ugali.
Kafiri ni yule asieamini Mungu,..Mimi sijali ukristo ulianzishwa na nani awe petro,paulo au nabii tito hiyo sio mada
Point yangu ni kuwa huu "ukristo" ni makafiri kwakuwa hawamuamini muhamad na Allah,,,na Allah hawapendi makafiri
Kwahiyo mtu yeyote asiyeamini uislam i.e muhamad na allah yeye anaitwa kafir
Allah hapendi makafir
Kwahiyo allah hapendi watu wasiokuwa waislam...
Kwahiyo waislam msitudanganye kuwa hamna chuki na mtu yeyote.
Wakati hata allah anawachukia wakristo,wahindu,wabudha,wapagani,n.k
Mbona yote nimeeleza ,Kaka umeandika maneno mengi, lakini imeonyesha una ufahamu mdogo sana, juu ya mambo yafuatayo.
1. Hujui siasa ni nini ?
2. Huwezi kutenganisha siasa na dini. Ila zipo siasa za kishetani. Rejea kitabu kiitwacho "Ademokratia"
3. Hujaonyesha marejeo ya bata la nchi za kiarabu na nchi za kikafiri, yaani hujaonyesha vigezo vya kuwafanya hao ndio wala bata sana.
4. Kuna nukta moja kama wewe unajinasibisha na Uislamu basi utakuwa katika dini ya Ushia, hapa ni baada ya kusema "....waislamu wa kisuni" hapa na imani kabisa umemaanisha jambo.
5. Hujatueleza uislamu unasemaje kuwa na urafiki na wasio kuwa Waislamu. Je unakataza hilo au?
Kuna udhaifu mwingi sana umeonyesha katika dibaji yako hii.
Nakuja kuendelea hapa nilipo ishia.
Na Waislamu mungu wao
Sijasoma yote sijui hizi habari umezi download mitandao gani.ISA WA QURAN KAZALIWA CHINI YA MTENDE WAKATI YESU WA KWENYE BIBLIA KAZALIWA KWENYE ZIZI LA NG'OMBE
TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.
Taarifa za Malaika kabla ya kuzaliwa kwao, kadiri ya Qurani na Biblia.
Jibrili alivyomtokea Mama wa Isa == Gabrieli alivyomtokea mama wa Yesu:
A. MARYAM ALIKUWA MSIKITINI vs. MARIAM ALIKUWA NYUMBANI KWAKE:
1. WAISLAM-JIBRIL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa Msikitini Qurani 19:16-17
2. WAKRISTO-GABRIEL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa nyumbani kwake - Lk 1:26-28
B. MARYAM HAJULIKANI ANAISHI WAPI vs MARIAM ANAYE ISHI NAZARETI:
1. WAISLAM-Mariamu Mama wa Isa haijulikani aliishi kijiji kipi wala mji gani wala hata nchi haijulikani. Isitoshe Quran inasema kuwa Jibril ndiye aliyemletea utume Muhammad asiwapelekee Mayahudi (hana kosa) Sura 2:97
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama yake Yesu alitokewa na Malaika Gabriel akiwa katika kijiji cha Nazareti mji wa Galilaya nchi ya Israeli (Lk 1:26) Mariamu Mama wa Yesu ni Myahudi.
C. JIBRIL HAKUMSALIMIA MARYAM vs GABRIEL ALIYE MSAMILIA MARIAM:
1. WAISLAM-Jibrili hakutoa salamu kwa Mariamu mama wa Isa ila alijimithilisha kwa umbo la binadamu aliye kamili - Sura 19-17
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alimsalimia Mariamu Mama wa Yesu – Luka 1:28
D. JIBRIL ALISEMA YEYE NDIE ANATOA MTOTO vs . GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MARIAM ATACHUKUA MIMBA:
1. WAISLAM-Jibril alimwambia Mariamu kwamba mimi ni mjumbe wa mola wako ili nikupe mwana mtakatifu - Sura 19-19
2. WAKRISTO-Lakini malaika Gabrieli alimwambia mama wa Yesu kuwa utachukua mimba – Luka1: 31
E. JIBRIL HAKULIJUA JINA LA MTOTO vs. GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MTOTO ATAITWA YESU:
1. WAISLAM-Jibrili alisema kwa Mariamu kuwa ili tumfanye mtoto muujiza kwa wanadamu – Sura 19: 21. Isitoshe Jibrili hakutaja jina la mwana kwa Mariamu. Bali alisema ili nikupe mwana mtakatifu.
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alisema kwa Mariamu mama ya Yesu kuwa mtoto jina lake utamwita Yesu (Luka 1:31; 2:21) Gabrieli hakusema kuwa atampa mwana Mariamu. Bali alisema, Roho mtakatifu atakujilia juu yako, yaani motto atazaliwa kwa uwezo wa Mungu.
TOFAUTI YA KUZALIWA KWA ISA NA YESU
Isa bin Mariam vs. Yesu Kristo
F. ISA KAZALIWA CHINI YA MTENDE vs YESU KAZALIWA KWENYE HORI LA NG'OMBE:
1. WAISLAM-Isa alizaliwa katika shina la Mtende –Quran 19:23
2. WAKRISTO-Yesu kazaliwa katika hori la kulishia ng’ombe. Luka 2:7
G. MIMBA YA ISA HAIJULIKANI ILKUWA YA MUDA GANI vs. YESU ALIYE ZALIWA KWA SIKU ZAKE ZILIPO KAMILIKA:
1. WAISLAM-Kuzaliwa kwa Isa haijulikani mimba ya mama yake ilichukua muda gani maana malaika Jibrili alisema nikupe mwana mtakatifu mara akachukua mimba na kuzaa. (19: 22-23)
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama wa Yesu siku zake za kuzaa zilitimia. (Luka 2:6-7)
H. ISA HAKUTABIRIWA KWENYE QURAN vs. YESU ALITABIRIWA KWENYE BIBLIA:
1. WAISLAM-Qurani haionyeshi kama Isa alitabiriwa na manabii kuwa atazaliwa
2. WAKRISTO-Lakini Biblia inatuthibitishia kuwa Manabii walitabiri kuzaliwa kwa Yesu, (Isaya 7: 14; 9:6) utabiri huu ulitolewa na Nabii Isaya miaka 750 kabla ya Yesu kuja kuzaliwa nao ulitimia (Mathayo 1:18-23)
I. ISA HAJULIKANI ALIZALIWA WAPI AU KIJIJI KIPI vs. YESU ALIYE ZALIWA BETHLEHEM:
1. WAISLAM-Isa haijulikani alizaliwa katika kijiji gani wala mji, wala nchi aliyozaliwa Qurani haikueleza.
2. WAKRISTO-Biblia inatujulisha kuwa Yesu alizaliwa Bethelehemu ya Uyahudi katika Mji wa Daudi umbali wa maili 5 toka kusini mwa Yerusalemu nchi ya Israeli (Lk 2:8-16). Kuzaliwa kwake mahali hapo pia ni kutimiza unabii uliotolewa na nabii Mika miaka 750-686 kabla ya kristo kuja wakati wa wafalme hawa wakitawala – Jotham, Ahaz na Hezekia wafalme wa Yuda. Yesu mwenyewe alizaliwa kama mwaka wa 4 wakati wa Mfalme Herode.
J. ISA ALIONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA vs. YESU HAKUONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA:
1. WAISLAM-Isa aliongea na watu akiwa mototo mchanga, na kusema kuwa yeye ni mja wa Mungu amepewa kitabu na amefanywa Nabii (Sura 19:30-33)
2. WAKRISTO-Yesu hakuongea na mtu akiwa mtoto mchanga. Alianza kuwauliza maswali na kutoa majibu akiwa na wazee Hekaluni akiwa na miaka 12. (Luka 2: 42-49)
Hivyo tunaona kwamba tuna tofauti nyingi tu kati ya Bwana Yesu na Isa.
Poa.Wewe sio wakujibiwa maana hujui kuwa hujui
Hujaelezea hata moja hapo.Mbona yote nimeeleza ,
Inaonesha hujasoma Mada ukaielewa ,umekurupuka
Hoja ni Waislamu kudanganywa kuwa Wazungu wapo kuufuta uislamu
Mnasahau Wazungu wana shida na rasilimali na sio Hiyo dini
Maana hata Saudi Arabia anawatandika Yemen
Saudia ambao mnawaona ni Waislamu ni vibaraka wazuri wa Marekani
Home › news › midd...
Web results
Msemaji wa Ansarullah ya Yemen: UAE ni kibaraka wa Marekani - Pars Today
Acha uongo Yesu hakuwa muislam, uislam umekuja baada ya miaka 550 baada ya Yesu. Dini ya Yesu ni Judaism na ndio hiyo ya akina Musa, Daudi, Ibrahim, Isaka na wengine wengi unaowafahamu.Dini ya Kristo ni dini Paulo sio ya Yesu.. Hivyo ndivyo nilivyokusudia..
Dini aliyokuwa akihubiri Yesu ni dini ya Allah, ni sawa na dini aliyokuwa akihubiri Mussa, Daudi na Mitume wengine wa Mungu..
Itakuwaje Allah asiipende dini aliyokuwa akihubiri Yesu, wakati yeye Allah ndio aliemurisha afanye hivyo..
Amka kaka, wakati ndio huu
Poa Yesu na Isa ni watu wawili Tafauti.. Je Yesu na Jesus ni mto mmoja? Je Yesu na Iso ni watu wawili tafauti, Je Yesu na Joshua ni mtu mmoja..ISA WA QURAN KAZALIWA CHINI YA MTENDE WAKATI YESU WA KWENYE BIBLIA KAZALIWA KWENYE ZIZI LA NG'OMBE
TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.
Taarifa za Malaika kabla ya kuzaliwa kwao, kadiri ya Qurani na Biblia.
Jibrili alivyomtokea Mama wa Isa == Gabrieli alivyomtokea mama wa Yesu:
A. MARYAM ALIKUWA MSIKITINI vs. MARIAM ALIKUWA NYUMBANI KWAKE:
1. WAISLAM-JIBRIL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa Msikitini Qurani 19:16-17
2. WAKRISTO-GABRIEL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa nyumbani kwake - Lk 1:26-28
B. MARYAM HAJULIKANI ANAISHI WAPI vs MARIAM ANAYE ISHI NAZARETI:
1. WAISLAM-Mariamu Mama wa Isa haijulikani aliishi kijiji kipi wala mji gani wala hata nchi haijulikani. Isitoshe Quran inasema kuwa Jibril ndiye aliyemletea utume Muhammad asiwapelekee Mayahudi (hana kosa) Sura 2:97
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama yake Yesu alitokewa na Malaika Gabriel akiwa katika kijiji cha Nazareti mji wa Galilaya nchi ya Israeli (Lk 1:26) Mariamu Mama wa Yesu ni Myahudi.
C. JIBRIL HAKUMSALIMIA MARYAM vs GABRIEL ALIYE MSAMILIA MARIAM:
1. WAISLAM-Jibrili hakutoa salamu kwa Mariamu mama wa Isa ila alijimithilisha kwa umbo la binadamu aliye kamili - Sura 19-17
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alimsalimia Mariamu Mama wa Yesu – Luka 1:28
D. JIBRIL ALISEMA YEYE NDIE ANATOA MTOTO vs . GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MARIAM ATACHUKUA MIMBA:
1. WAISLAM-Jibril alimwambia Mariamu kwamba mimi ni mjumbe wa mola wako ili nikupe mwana mtakatifu - Sura 19-19
2. WAKRISTO-Lakini malaika Gabrieli alimwambia mama wa Yesu kuwa utachukua mimba – Luka1: 31
E. JIBRIL HAKULIJUA JINA LA MTOTO vs. GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MTOTO ATAITWA YESU:
1. WAISLAM-Jibrili alisema kwa Mariamu kuwa ili tumfanye mtoto muujiza kwa wanadamu – Sura 19: 21. Isitoshe Jibrili hakutaja jina la mwana kwa Mariamu. Bali alisema ili nikupe mwana mtakatifu.
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alisema kwa Mariamu mama ya Yesu kuwa mtoto jina lake utamwita Yesu (Luka 1:31; 2:21) Gabrieli hakusema kuwa atampa mwana Mariamu. Bali alisema, Roho mtakatifu atakujilia juu yako, yaani motto atazaliwa kwa uwezo wa Mungu.
TOFAUTI YA KUZALIWA KWA ISA NA YESU
Isa bin Mariam vs. Yesu Kristo
F. ISA KAZALIWA CHINI YA MTENDE vs YESU KAZALIWA KWENYE HORI LA NG'OMBE:
1. WAISLAM-Isa alizaliwa katika shina la Mtende –Quran 19:23
2. WAKRISTO-Yesu kazaliwa katika hori la kulishia ng’ombe. Luka 2:7
G. MIMBA YA ISA HAIJULIKANI ILKUWA YA MUDA GANI vs. YESU ALIYE ZALIWA KWA SIKU ZAKE ZILIPO KAMILIKA:
1. WAISLAM-Kuzaliwa kwa Isa haijulikani mimba ya mama yake ilichukua muda gani maana malaika Jibrili alisema nikupe mwana mtakatifu mara akachukua mimba na kuzaa. (19: 22-23)
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama wa Yesu siku zake za kuzaa zilitimia. (Luka 2:6-7)
H. ISA HAKUTABIRIWA KWENYE QURAN vs. YESU ALITABIRIWA KWENYE BIBLIA:
1. WAISLAM-Qurani haionyeshi kama Isa alitabiriwa na manabii kuwa atazaliwa
2. WAKRISTO-Lakini Biblia inatuthibitishia kuwa Manabii walitabiri kuzaliwa kwa Yesu, (Isaya 7: 14; 9:6) utabiri huu ulitolewa na Nabii Isaya miaka 750 kabla ya Yesu kuja kuzaliwa nao ulitimia (Mathayo 1:18-23)
I. ISA HAJULIKANI ALIZALIWA WAPI AU KIJIJI KIPI vs. YESU ALIYE ZALIWA BETHLEHEM:
1. WAISLAM-Isa haijulikani alizaliwa katika kijiji gani wala mji, wala nchi aliyozaliwa Qurani haikueleza.
2. WAKRISTO-Biblia inatujulisha kuwa Yesu alizaliwa Bethelehemu ya Uyahudi katika Mji wa Daudi umbali wa maili 5 toka kusini mwa Yerusalemu nchi ya Israeli (Lk 2:8-16). Kuzaliwa kwake mahali hapo pia ni kutimiza unabii uliotolewa na nabii Mika miaka 750-686 kabla ya kristo kuja wakati wa wafalme hawa wakitawala – Jotham, Ahaz na Hezekia wafalme wa Yuda. Yesu mwenyewe alizaliwa kama mwaka wa 4 wakati wa Mfalme Herode.
J. ISA ALIONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA vs. YESU HAKUONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA:
1. WAISLAM-Isa aliongea na watu akiwa mototo mchanga, na kusema kuwa yeye ni mja wa Mungu amepewa kitabu na amefanywa Nabii (Sura 19:30-33)
2. WAKRISTO-Yesu hakuongea na mtu akiwa mtoto mchanga. Alianza kuwauliza maswali na kutoa majibu akiwa na wazee Hekaluni akiwa na miaka 12. (Luka 2: 42-49)
Hivyo tunaona kwamba tuna tofauti nyingi tu kati ya Bwana Yesu na Isa.
TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.
Taarifa za Malaika kabla ya kuzaliwa kwao, kadiri ya Qurani na Biblia.
Jibrili alivyomtokea Mama wa Isa == Gabrieli alivyomtokea mama wa Yesu:
A. MARYAM ALIKUWA MSIKITINI vs. MARIAM ALIKUWA NYUMBANI KWAKE:
1. WAISLAM-JIBRIL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa Msikitini Qurani 19:16-17
2. WAKRISTO-GABRIEL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa nyumbani kwake - Lk 1:26-28
Hujaelezea hata moja hapo.
Kwanza unajua nini maana ya neno ISLAM?Acha uongo Yesu hakuwa muislam, uislam umekuja baada ya miaka 550 baada ya Yesu. Dini ya Yesu ni Judaism na ndio hiyo ya akina Musa, Daudi, Ibrahim, Isaka na wengine wengi unaowafahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha wewe ni mkurupukajiHapa patamu kweli kweli. Tuanze moja moja, ya Kwanza tumalize kisha tuhamie nyingine...
Aya za Qur'an ulizozitaja 19: 16-17 hizi hapa...
Qur'an 19:
16. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. 16
17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu. 17
Haya tuoneshe ni wapi hapo msikiti umetajwa kama ulivyozuwa?
Ukishindwa kuonesha kiri kuwa umedanganya kabla sijaendelea kuuchambua zaidi uongo wako.
Nasubiri.