Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,262
- 12,619
Hahah your knowledge is so poor...Kafiri ni yule asieamini Mungu,..
kama unaamini Yesu ni Mungu basi wewe ni Mshirikina sio KAFIRI
Yesu ni mmoja wa Mitume takatifu kwenye Uislam, Waislamu wanaruhusiwa kushirikiana na "Ahlil kitab"(watu wa vitabu)
Ahlil kitabu ni Wayahudi na Manasara, Manasara ni wale wanao fata Injili ya Isa aka Yesu..
Note:Biblia sio Injili., INJILI ni mahubiri ya Yesu, BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu 40 vilivyoandikwa na watu tafauti akiwemo Paulo..
Don't get confused son,that the way it is..
Kwahiyo wakristo na wahindu sio makafiri?
Kafir ni mtu asiyeamin uislam mdogo wangu.
Quran inasema wakristo na wayahudi ni viumbe wabaya kuliko wote...yani bora ibilisi au nguruwe kuliko mkristo au myahudi
Sasa kama unaruhusiwa kushirikiana na myahudi basi umeruhusiwa kushirikiana na nguruwe na ibilisi.