Usidanganywe ewe Muislamu

Status
Not open for further replies.
Binadamu humu wanajitahidi sana kuleta mgawanyiko kwa kisingizio cha dini!

Huu upuuzi tena mkubwa...

Wana hamu sana...ya kuona machafuko..ya kidini...

Huu ni mtego wa panya.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena mimi suo punga sawa??
Hapa unasema hamna dini iitwayo ukristo
Hakuna dini inayoitwa "Ukristo"
Hapa tena unamalizia kwa kusema dini hiyo ipo ila ni wafuasi wake wa paulo
Wewe kama ni Mkristo basi ni mfuasi wa Paulo sio Yesu, kwani Paulo ndie alianzisha hiyo dini..
Kwahiyo hiyo dini ipo au haipo?

Sikia bro,iwe imeanzishwa na yesu,paulo,padri jones au magufuli hiyo sio kesi....kesi ni kuwa hiyo dini na watu wake hawapendwi na Allah hivyo muislam usitupake mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kusema uislam hauna chuki na mtu yeyote.
Kwa msingi huo dini zingine zote uislam una chuki nazo...na muislam mtu wa kumpenda ni muislam mwenzake tu wengine wote maadui.
 
Asante mkuu. Pengine sheikh Farsy alikosea, kama ilivyo ada ya mwanadamu. Sasa chukua ya sheikh Ali Muhsin " na shika sala katika ncha mbili za mchana na NYAKATI ZA USIKU zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanaokumbuka". Bado ni sala tano. Na mkuu hii huwa haisemwi tu. Ni maelekezo ya Mtume wao.
 
Mkuu kwani sheikh muhsin sio binadam??
Hapa ndo nimeanza kuamini uongo ukirudiwa rudiwa masikioni mara nyingi,unakuwa ukweli.
Keep in mind hapa bongo na east africa asilimia 99 ya waislam ni sunni...kwahyo hata hiyo translation itakaa kisunni sunni
Mara chache sana utakuta watu wanakuwa wakweli,mara nyingi huwa wanapindisha maandiko yaendane na imani zao...
Ndomaana mimi nikakurudisha kwenye original Qur'anic arabic.
 
Mwanamke, hasa wakiislamu hawezi kuzini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe. Hata ukisikia unaelewa Kiarabu wewe?
Kwa Nini nchi za kiislanu wanakitwangana iwe Libya au nchi za kiarabu za Iraq ,Syria nk kwa Nini waislamu wakimbizi wanapenda kukimbilia nchi za ulaya za Wala kitimoto hawakimbilii Nchi za kiislanu za uarabuni Kama wanapendana waislamu?

Hata wapemba 2011 walipovurumushwa Pemba na risasi walikimbilia kwa Wala kitimoto uingereza na canada

Kwa Nini waislamu kukitokea tatizo nchi zao za kiislamu wanapenda kutimukia kwa wakristo Wala kitimoto na sio kwa waislamu wenzao?
 
Kuna fitna gan hapa

Huu uzi una shida gani ?

Kusema kwamba msidanganyike kuhusu propaganda mnazoambiwa kila siku imekuwa fitna?
 
Kuna fitna gan hapa

Huu uzi una shida gani ?

Kusema kwamba msidanganyike kuhusu propaganda mnazoambiwa kila siku imekuwa fitna?
Ni fitna na umejaa chuki. Ukiwa na wewe mpenda fitna na mwenye chuki hautoweza kuliona hilo.
 
Ni fitna na umejaa chuki. Ukiwa na wewe mpenda fitna na mwenye chuki hautoweza kuliona hilo.
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli

Mnataka kujifungia ndani ya boks

Siku ukitoka ndani ya boksi liitwalo UDINI unaweza uka uchallange uislamu ,
 
Uliza ki heshima. Au ndiyo heshima uliyofundishwa kwenu hiyo?

Au ni mihemko na chuki tu?
 
Ila kiukweli kabisa waislam wanachuki sana na ukristo. Sijui ni kwa nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipotoshe uma,waislam wanasubira Sana kuliko dini yoyote ile,nikuulize ulishawahi kuona au kusikia muislamu kakojolea Bible au kaichana hapa Tanzania?Lakini wakristo wamekuwa wakikejeli Quran kila uchao,sasa niambie ni Nani mwenye chuki dhidi ya mwenzie!?
 
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli

Mnataka kujifungia ndani ya boks

Siku ukitoka ndani ya boksi liitwalo UDINI unaweza uka uchallange uislamu ,
Ukweli ni ule ambao hata Aya ya Qur'an iliyowekwa post namba ni ya kujitungia na kumzuwia, haipo kwenye Qur'an, huo ndiyo ukweli?
 
Mtumwa unaejidhania upo huru,
Majanga mangapi yanawakuta waislamu waafrika na hatuoni waislamu waarabu wakiambatana kupinga,lkn nyie mwarabu akipapaswa kidogo tu mnaandamana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…