Okay nakuona unajua mipango na target za empire ya shetani...hujachelewa tu kuniambia nawewe ni agent wa shetaniKama wewe ni myahudi huna nguvu ya kupinga mamlaka ya shetani ( satanic empire). Katika kuusimika utawala wa shetani myahudi sio target kabisa. Empire ya shetani mpinzan wake mkubwa dunian ilikuwa ni Uislam na Ukristo. Ukristo umeshakubali yote. Kanisa lina kashfa zote za ushetani na sasa mpinzan aliyebaki ni Uislam peke yake na Wala Si uyahudi.
Huwez kuwa huelewi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheh...mbona sheikh wanadanganywa kuswali mara tano? Imeandikwa wap kweny quran?Unadhani Waislamu ni wajinga? Wanajua wanachikisema na kitabu chao kimo moyoni. Huwa hawadanganywi kwani wanao mwongozo wa maisha yao.
Heheheh...mbona sheikh wanadanganywa kuswali mara tano? Imeandikwa wap kweny quran?
Hiyo aya inasema mswali mara tatu...alfajir na jioni na usiku unapoanzaKasome upate Elimu,bila kusoma huwezi jua.Ni sawa na kuuliza mbona waislamu,wanajitibu imeandikwa wapi mwenye Qur'an,Kuhusu Swala soma Qur'an 11:114.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli Dafur waislamu weusi walikuwa wakitwangwa na waislamu waarabu hatukusikia tamko la waarabu waislamu wa uarabuni kulaani au kutoa tamko
liko swala la waislamu wasomali kule somalia wanauana hovyo wao kwao wao hatusikii tamko toka waislamu wa uarabuni waarabu kulaani
lakini akiguswa mwarabu mwenzao mpalestina waislaamu waarabu wa uarabuni wanataka misikiti yote afrika itangaze maonezi na kuuawa mwarabu muislamu mpalestina na madhira wanayofanyiwa!!!!
huo mshikamano wa kiislamu ni kwa ajili ya waislamu waarabu tu?
Hiyo aya inasema mswali mara tatu...alfajir na jioni na usiku unapoanza
Hiyo tano nani aliileta?
Upo sahihi ,Nilipokua shule nilizani wazungu wanachuki na Uislaam ila baada ya kumaliza na kujisomeasomea sana Magazeti na Vitabu mbalimbali na kuingia kwenye mitandao ya nje na ndani nikaamini Wazungu hawana shida na Uislaam na hawana mpango na Dini yoyote wao wana mambo yao.
Nikiona watu wanabishana masuala ya Kidini nawaona wajinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataelewa wapi huyo, yeye lengo lake hapa ni fitna tu.Soma vizuri wewe,wafikiri hilo ni gazeti,hapo ni mara tano:
Q:11:114. Na simamisha sala katika ncha mbili za mchana(nayo ni(1) Adhuhuri na (2)Laasiri) na nyakati za usiku zilizokaribu na mchana (na yayo ni (3)Magharibi na(4) Isha -ziko karibu na na mwisho wa mchana;na(5 )Alfajiri iko karibu na mwanzo wa mchana ).....
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheh...mbona sheikh wanadanganywa kuswali mara tano? Imeandikwa wap kweny quran?
Dini yao inatokana na maamrisho ya quran ambayo nayo hutafsiriwa vyema kwa maelekezo ya Mtume wao. Suala la swala limetokana na maamrisho ya quran, kwamba waislamu wanatakiwa waswali. Quran 2:43 "na shikeni/simamisheni/dumisheni swala na toeni zaka na rukuuni pamoja na wanaorukuu. Na aya hizi zipo nyingi kwenye Quran. Ama waswali vipi imekuja kwenye maelekezo ya Mtume wao. Hawadanganywi mkuu.Heheheh...mbona sheikh wanadanganywa kuswali mara tano? Imeandikwa wap kweny quran?
Sasa mbona mnaswali swala tano ilhali quran imeandika mswali tatu?Dini yao inatokana na maamrisho ya quran ambayo nayo hutafsiriwa vyema kwa maelekezo ya Mtume wao. Suala la swala limetokana na maamrisho ya quran, kwamba waislamu wanatakiwa waswali. Quran 2:43 "na shikeni/simamisheni/dumisheni swala na toeni zaka na rukuuni pamoja na wanaorukuu. Na aya hizi zipo nyingi kwenye Quran. Ama waswali vipi imekuja kwenye maelekezo ya Mtume wao. Hawadanganywi mkuu.
Wewe ndo unalazimisha maanaSoma vizuri wewe,wafikiri hilo ni gazeti,hapo ni mara tano:
Q:11:114. Na simamisha sala katika ncha mbili za mchana(nayo ni(1) Adhuhuri na (2)Laasiri) na nyakati za usiku zilizokaribu na mchana (na yayo ni (3)Magharibi na(4) Isha -ziko karibu na na mwisho wa mchana;na(5 )Alfajiri iko karibu na mwanzo wa mchana ).....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo umetoa wapi kichwani mwako au?? Nani kakuambia kuna utawala wa shetani unajengwa?mimi nasema uislam sio target ya shetani bali waarabu ni target ya marekani kwaajili ya mafuta...(tofautisha waarabu na uislam)Mimi sifanyi assumption hapa, ninachoweza sema ni kwamba:
Kama wewe ni myahudi huna nguvu ya kupinga mamlaka ya shetani ( satanic empire). Katika kuusimika utawala wa shetani myahudi sio target kabisa. Empire ya shetani mpinzan wake mkubwa dunian ilikuwa ni Uislam na Ukristo. Ukristo umeshakubali yote. Kanisa lina kashfa zote za ushetani na sasa mpinzan aliyebaki ni Uislam peke yake na Wala Si uyahudi.
Uyahudi hauna nguvu yoyote na haujaenea popote pale ulimwenguni.
Myahudi mfadhili wake mkubwa ni Yule anaepigania utawala wa shetani. Na ndo huyo huyo aliewakusanya wayahudi na kuwapa nguvu mwaka 1948 kwa kuusimika utawala kandamiz wa Esrael.
Kama hujui myahudi na satanic empire ni "Ni ng'ombe na mmasai "
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hapo ndipo wale mnaojiita" Wakristo" yaani wale mnaofata dini ya Paulo mnapokose,Mkisoma Biblia hamfahamu Quran halikadhalikaKama Allah mwenyewe ana chuki dhidi ya makafiri...wewe ni nani mpaka useme hauna sababu ya kuwachukia wasio waislam?? Unamzidi hikima Allah?
Quran 30 :44''That He may reward those who have believed and done righteous deeds out of His bounty. Indeed, He(Allah) does not love the disbelievers."
Ila kiukweli kabisa waislam wanachuki sana na ukristo. Sijui ni kwa nini.
Sent using Jamii Forums mobile app