Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuna uzushi unasambaa katika jamii ya Kislam kuwa Waislam wananyanyaswa duniani na vita inayopiganwa mashariki ya kati ni dhidi ya Uislam. Hivyo jamii kubwa ya Waslam hasa katika nchi maskini wamekuwa wahanga wakubwa wa ufahamu huo, wanalalamika kuwa mfumo Kristo ndio unawakandamiza, kwahiyo chuki imejengeka katika ufahamu wao hasa dhidi ya Wakristo.
Huo ni uongo ndugu Muislam, uzembe wako ndio umaskini wako wa ufahamu, vita uliyopandikiziwa kichwani mwako ni vita ya ufahamu, maana shetani anatambua kuwa mwenye chuki hawezi kuurithi ufalme wa Mungu. Ndio maana anatumia fursa hii kupitia media kuukandamiza ufahamu wako ili uwe mateka wake.
Ngoja nikuambie ukweli, nchi ambazo Uislam umetokea ndizo nchi tajiri na wakazi wake ambao ni Waarabu ambao ni waislam 99% wanakula bata sana, tena wale ambao wewe unawachukia ndio marafiki zao wakubwa. Mfano nchi zifuatazo ndizo zinaongoza kwa bata sana na utajiri,
1) UTIED ARAB EMIRATES
2) KUWAIT
3) QATAR
4) SAUDI ARABIA
5) BAHRAIN
6) OMAN
Hizi ndizo nchi zilizo jaa Waislam wa kisuni ambao ndio wengi duniani na ni nchi tajiri sana kwa mafuta na uwekezaji wa majengo makubwa na ya kifahari, na tena hizo nchi ni marafiki wakubwa na nchi za Ulaya na Marekani. Watu wakiona Marekani inapigana na Wairaq au Wasyria wanajua hapo Marekani inapigana vita vya kidini, no no no unadanganywa na mashekhe wako au mazingira, Marekani yupo huko kimaslahi na si kidini.
Iraq na Syria na Marekani wamekorofishana tu, zamani walikuwa pamoja, maana Marekani hana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Na kama vita ni baina ya Uislam na Ukristo kama mnavyopotshwa kwanini Saudia Arabia imevamia Yemen ambao kimsingi ni waislam wenzake? Inaua Wayemen kwa mabomu ya sumu na magonjwa. Na kama vita ni dhidi ya Uislam kwanini mwaka 2017 Hizo nchi tajwa ikiwemo na Misri waliungana na Marekani dhidi ya IRAN ambao ni Waislam wenzao. Na tambua mzozo wa Iran na Marekani si mzozo wa dini bali maslahi, Irana na Marekani walikuwa marafiki sana wakati wa Shah, baada ya mapinduzi ya Kishia ya mwaka 1979 ndio wakawa maadui mpaka leo.
Tukija katika nchi za Kaskazini kwa Afrika kama Morocco, Algeria, Tunisia, Misri ambazo 90% ni Waislam zote hizo zina nafuu ya maisha, na wanaishi kwa raha tu tena wanakula bata sana, ukitoa Misri hizo nchi zinatumia Kifaransa pia katika mazungumzo na wanaishi kama wazungu. Ukija kwa habari ya Libya na Sudan Kaskazini, vurugu za huko si za kidini bali za kimaslahi, Gadafi na Bashir wali provoke Marekani kimaslahi, sasa hicho unachokiona ndio matokeo ya matamshi yao na si habari ya Uislam hapo. Na tukija katika nchi yenye Waislam wengi duniani yapata milioni 200, ambayo ni INDONESIA, utaona huko hakuna masumbufu kwa Waislam, tena huko ndio kuna mabichi makubwa duniani ambayo kuna utalii mkubwa wa watu kutoka Marekani na Ulaya.
Na cha ajabu Ulaya na Marekani Waislam wanaishi vizuri sana tena kwa uhuru kuliko hata katika nchi za Kislam, huko wanajenga misikiti, wanatangaza dini yao kwa Amani, na katika nchi zao ukitangaza Ukristo wanakuua, kwao Biblia ni marufuku. Sasa kati yao na Wakristo ni wapi wenye chuki?. Na mzozo wa China na Waislam si wa kidini bali wa kisiasa, na China haisumbui Waislam tu bali hata Wakristo na Mabudha, na lakustajabisha ni Marekani na UN ndio watetezi ya jamii hizo zinazoteseka huko China.
Jambo lingine ambalo Waislam wamelitafasiri kidini, ni mzozo kati ya Palestina na Israeli, rafiki hapo hakuna mzozo wa kidini, Myahudi hana shida na Uislam, huo mzozo ni wa ARDHI. Na Waislam shida yao ni mji wa Yerusalem hasa msikiti wa Al-aqsa na dome of the rock na si miji mingine kama Gaza au Bethlehem ama Tel-Aviv, pia hawana shida na kuwatetea Wapalestina, wapo tuli hasa hizo nchi za Kislam zilizo tajiri, na Wapalestina wanalitambua hilo, na kuna wakati waligombana na wa Yordan walipotaka kudhibiti eneo hilo, na kumbuka Yordan ni Waislam, sasa tafakari kwanini iwe hivyo?. Ni kwamba Wapalestina hawataki kuliachia eneo hilo la Yerusalem limilikiwe na Waislam bali wanalitaka wao ili uwe mji mkuu wa Wapalestina. Huku Bongo utakuta mtu amekenua meno tu akilaumu Wakristo kuwa ndio sababu ya shida zake za kidini na kimaisha…POLE.
Mwisho
Vita vinavyoendelea duniani ni vita vya kisaikolojia, hivyo usiishie kuona tu mabomu na vifaa vya kijeshi na majeshi makubwa na udini, hivyo vita vinapiganwa katika akili yako. Na ndio maana vimeugawa ufahamu wako, na umechukia upande mmoja. Na jambo hilo ndio moja ya matokeo ya mtaala unaoitwa HEGELLIAN DIALECT na formula yake ni Thesis x Antthesis = Synthesis. Yaani anzisha mzozo, weka suluhisho na jibu ni Muhafaka.
Hii ni kanuni ya kishetani ya kunasa ubongo wako, kwahiyo tambua kuwa pambano kuu alipiganwi huko mashariki ya kati bali linapiganwa katika akili/ufahamu wako. Sharti uchague ni upande gani utakao utumikia, kama ni ule wa Mungu [Haki, Amani, na Neema] au ule wa Shetani[ Uovu, Chuki na visasi]. Ipo siku pande mbili hizo ambazo kwa picha ya nje zinapigana lakini kwa picha ya ndani zipo pamoja, zitakaa katika meza moja na kutengeneza SATANIC EMPIRE ndipo utalia na kusaga meno maana utakuwa umechelewa kufanya maamuzi sahihi. WALIO JUA SIRI HII WAMEWEKA TUMAINI LAO KWA MUNGU NA UJIO WA YESU KWA MARA YA PILI.