Mwandishi umeongea kweli Sana Ila WATABISHA SANA.
Wewe mwandishi ni misogynist (mchukia wanawake) uliyekubuhu unayejaribu kwa nguvu zako zote kutuaminisha maoni na mitazamo yako binafsi kuhusu wanawake iliyojaa chuki. Siyo kweli hayo unayoandika. Ungekaa nchi zilizoendelea ungejua kuwa wanawake na wanaume tabia zao huendana na tamaduni, mila, values, morals na uchumi wa jamii husika.
Inakuwaje sasa.Mwanamke anayependwa na kutimiziwa mahitaji yake yote anachepuka na kumpelea Mbususu yake dereva wa boda boda asie na kitu??
Mbona mi nimefilisika na mke to be ananipenda sana..hayo ni maoni yako tu
Pitia thread ya Mwanamke aliyepewa vyote na Mchepuko mpaka Kujengewa na Nyumba na Gari juu ila Anataka Kumuacha Aliyempatia Hivyo vitu.
Tafuta mwanamke anayekupenda siyo unayempenda wewe. Unajipeleka mwenyeww
Hudumia Moyo wako kimwili na Kihisia usitafute Upendo kwa Binadamu mwenzako. Jipende wewe kwanza Acha Kutafuta Upendo kwa WengineMwanamke hawezi kukupenda Kama huna kitu, ukubali ukatae.
Lazima umhudumie kimwili na kihisia(moyo).
Hudumia Moyo wako kimwili na Kihisia usitafute Upendo kwa Binadamu mwenzako. Jipende wewe kwanza Acha Kutafuta Upendo kwa Wengine
Wewe timiza Majukumu yako kama Mwanaume. Lete vyakula ndani. Timiza tendo la Ndoa.. Nunua viatu vya Watoto... Peleka watoto wakajifunze.. Achana na Kufurahisha Mwanamke
Kutoa sio pesa tu hata huduma nayo ni kutoaUpendo = Mwanaume Kutoa = Mwanaume Kuhudumia
Vipi kuhusu hawa wanawake/ Wakina Mama wanaowalea vijana na kuwapa kila kitu? Hebu elezea na hiyo "falsafa" pia...
Elezeeni na sisi wengine tujueUmenena mkuu mama wa siku hizi siwaelewi kabisa ni species gani.
Hata ushauri nayo ni kutoa kitu sio lazima pesaMbona mi nimefilisika na mke to be ananipenda sana..hayo ni maoni yako tu
Mwanaume machineInakuwaje sasa.Mwanamke anayependwa na kutimiziwa mahitaji yake yote anachepuka na kumpelea Mbususu yake dereva wa boda boda asie na kitu??
Soma kilichoandkwa huko juu, ndio utaelewa.Kutoa sio pesa tu hata huduma nayo ni kutoa
Na Mwanamke jukumu lake ni kumpa heshima mume wakeHAKUNA MWANAUME kamili anayehitaji kupendwa na Mwanamke labda vijana wa siku hizi.
Mwanaume tunapenda
Mwanaume ameumbwa kumfurahisha mwanamke Kwa kumpenda(kumtunza na kumhudumia)
Ngoja nirudi mkuu nimeanza na commentSoma kilichoandkwa huko juu, ndio utaelewa.
Na Mwanamke jukumu lake ni kumpa heshima mume wake
Muda utaongeaMbona mi nimefilisika na mke to be ananipenda sana..hayo ni maoni yako tu