usichukulie pouwa!!!!!!

usichukulie pouwa!!!!!!

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Ktk kufanya usafi ndani ya ndege, jamaa akaokota kitabu kilichoandikwa jinsi ya kuendesha ndege akasoma 'kuwasha ndege bofya kitufe chekundu akabofya ikawaka', bofya bofya cha bluu ili itembee, akabofya ikatemba, bofya cha njano kupaa,akabofya ikapaa! akasema nilidhani hadi kusomea chuo miaka 10 kumbe kuendesha ndege ni rahisi tu? akiwa angani alipofunua ukurasa wa mwisho ukasomeka,kwa maelezo zaidi jinsi ya kutua fika chuoni kwetu' unahisi nini kilitokea?????????????t
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom