usicheze na prof

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
wanachuo wawili wa chuo flani walikwenda kustarehe huku wakiwa na gari lao,wakazidisha starehe wakajikuta wamechelewa muda wa kufanya test ya somo flan,wakiwa bado njiani wakafikiria saana watamueleza nn profesa,wakakubaliana kuwa watamdanganya kuwa tairi la gari lilipata pancha:
walipofika na kumueleza prof.kuwa walipata pancha na wanaomba watungiwe mtihani mwingine prof. Alikuwa mwepesi sana kuwakubalia vijana wa watu,bac vijana wakakamua shule vibaya mno.
Siku ya paper prof akawaweka kila mmoja chumba chake cha mtihani,paper ilikuwa na maswali mawili tu!swali la kwanza lilikuwa ni rahisi sana na lilikuwa na maksi chache mno,la pili lilikuwa na maks nyingi sana,na lilikuwa linauliza"je ni tairi la upande gani lililopata pancha?
 
Hahaaa haaaa nadhani hapo madenti walitamani wangekuwa class moja ili angalau wangepeana japo ishara, hapo prof aliwabana kweli
 
Itakuwa inawauma sana maana swali jepesi sana ila mawasiliano hakuna hapo limekula kwao
 
Back
Top Bottom