Hapa ni mtu mwenyewe anavyojiweka, haina Jinsia. Mwanaume anakua muathirika ''Vulnerable'' zaidi kwa sababu ya ''Desperation'' yake na focus yake.
Kwa sababu zambi nyingine zote anafanya nje ya mwili wake ila uzinzi/uasherati ni JUU ya mwili wake, na afanya jambo litakaloiangamiza nafsi na mwili wake (Maandiko husema)
Maandiko yanasema kwenye kitabu cha Mika, ''Chunga sana ulimi wako uwapo kifuani mwa Mwanamke''
maandiko yanasema ''Ishi na Mwanamke kwa AKILI'' so ukikaa nao kizuzu zuzu umekwisha. Maana wana uwezo mkubwa sana wa kutuinfluence na kutu-manipulate.. usisahau hila hila na matazamio ya juu sana..... Walishatamani kuwa sawa na Mungu, imagine?
Umeongea kitu cha msingi hapa, ila sio rahisi kueleweka.