Usicheze cheze na tendo la ndoa

Usicheze cheze na tendo la ndoa

Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.

MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka.

2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea.

3)Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum).

MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa.

2) Nguvu za mwili huongezeka.

3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika kwa namna yeyote ile mbele ya Delila! Nadhani wanaume tunapata somo letu hapa; “Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaini”.

Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote! Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda.Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra.

Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, Kede kede na hilo litakuganda mpaka ujute!”. Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili
.

Kwani mnapokuwa mnakitafuta kilele cha Kibo huwa kuna mazungumzo ya kzahidiana kupeana mali? si kazi inakuwa moja tuu ya kupanda mlima?
 
Kitandani ni mahali pa ngono na kupumzisha mwili na sio mahali pa discussion. Kwa wanaume musikubali discussion yoyote kitandani kama kuna swala la kudiscuss na mwanamke lifanyike sebuleni au kama ni wapenzi hamujaoana discussion zote zifanyike mukutanapo kabla yakufika kitandani. Mwanamke ukimuona anakuomba kitu wakati wa romance au wakati wakusex huyo ni mwizi.

Kwanza discussion nyingine wakati wa tendo kama hilo ndizo huondoa mood ya tendo husika maana nyingine zina-disturb. Mimi pia sikubaliani na mijadala au maombi yanayowasilishwa wakati huo. Kama kuna hoja au maombi yafanyika kabla au baada ya tukio, au siku tofauti kabisa. Habari ya kupenyeza maombi wakati wa kukutana kimwili ni dalili za hila!
 
Kwasababu utakuwa umecheza foul kabisa yaani unategemea akili ipo sifuri na yako ipo maximum ndo upewe ahadi inakuwa sio fair game,inabidi muwe mnasuburi baada ya game.

Itabidi tuanze kuwa tunawapatia karatasi mnaandika na tunawasainisha kabisa, naandika mimi ..... naahidi kumlipa .... kiasi cha shilingi 5m nilzomkopa tarehe ......... saini yako. unaweka jina lako sehemu husika na mimi la kwangu, hafu nakusainisha na namba ya simu unaandika, nya... b...a... u
 
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.

MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka.

2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea.

3)Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum).

MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa.

2) Nguvu za mwili huongezeka.

3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika kwa namna yeyote ile mbele ya Delila! Nadhani wanaume tunapata somo letu hapa; “Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaini”.

Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote! Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda.Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra.

Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, Kede kede na hilo litakuganda mpaka ujute!”. Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili
.

Mkuu hiyo ID yako tu! ndo inaniacha hoi,sijui kwanini uliamua kujiita hivyo? hujui maneno huwa yanaumba??.
 
Unajua Kusoma Kiswahili Vizuri Hebu Rudia Mada Tena Upate Kuelewa Wenzio Tumeielewa

Me kiswahili chenga ok,but me huwa nabaki na akili yangu muda wote labda wewe,ndio maana nikaomba source ya hili jambo,ukiniletea kifungu cha bible kwamba delila alimdanganya samson na mwanaume azinie hana akili hii hainiingii akilini kabisa,kasome hivyo vifungu tena.😕
 
Back
Top Bottom