Huenda walikuwa hawajammark sura huyo jamaa, Uwezo wa nyuki huwa wanakukariri hadi harufu ndomana ukijipulizia perfuume kali wanaweza wakakudandiaWee jidanganye!!mkuu nakumbuka kipindi nasoma elimu ya msingi kijijini kuna wale wanaopenda kukaa kwenye mti kama furushi la mpira walikuwa karibu na uwanja!!sasa mwanafunzi mmoja akabeba gunzi la mwindi sii akawagonga!!wakadondoka furushi kama kilo tatu hivi!! Huwezi amini shule ilifungwa gafla kwa muda wa siku tatu maana mle uwanjani na eneo lote la shule walihamia wate hadi majirani sio mbuzi mbwa ng'ombe mazizini ule mziki waliuchezea!!
Shikamoo brother.. Napita tuUwezo wa
MUNGU, hakika unajidhihirisha kupitia hili. Hivi unajua
kwamba "NYUKI HUWEZA KUTOFAUTISHA SURA ZA
BINADAMU, YAANI UKIWAFANYIA FUJO BASI FAHAMU
UKIWA KATIKATI YA WATU, UTAFUATWA WEWE TU..!!!" Ndiooooo... Hutakiii..!!??? Ahahahahahaha... Jumamosi
njema MUUNGWANA.
Siyo milioni saba kweli au nimesahau? Maana siku hizi ni mwendo wa kukomesha wanyonge si mtaani si mitandaoni kote tunakomeshwa.mkuu huogopi kutozwa milioni sita weweee????
Hapo hata mwaka haujaisha, sipati picha hali itakuaje miaka 9 iliyobaki.Hahahah Bado namba zinakolezwa ili tuzisome vizuri
Hahahaaaaa hayo yako sasakumbe wana akili kuliko yule ara siii
maana wanaweza kulitambua tatizo
unaonaje na sisi binadamu ingekua ivyo??? wengi tusingefanya kabisa au tusingekifikia kilele kwa kuogopa kufaKuna hili dume likifika kileleni wakati wa tendo la ndoa hupasuka korodani pia ni maajabu..