Dunia ina mengi sanaaNyuki pia wanauwezo wa kutambua alama na kuzitofautisha..hata herufi kama A,B,C,...........................Z ndio maana mizinga yao kwenye bee house inawekwa alama na hawajichanganyi kuingia mzinga mwingine kwa sababu wanakua wamezikariri
Hii ingekuwa kwa binadamu sijui ingekuajeHii inahuzunisha kidogo
Teh teh teh teh ..duh...Kuna hili dume likifika kileleni wakati wa tendo la ndoa hupasuka korodani pia ni maajabu..
wewe umejuaje..!? lete ushaidi hapaKuna hili dume likifika kileleni wakati wa tendo la ndoa hupasuka korodani pia ni maajabu..
Hii ni kweli kabisa.......Uwezo wa
MUNGU, hakika unajidhihirisha kupitia hili. Hivi unajua
kwamba "NYUKI HUWEZA KUTOFAUTISHA SURA ZA
BINADAMU, YAANI UKIWAFANYIA FUJO BASI FAHAMU
UKIWA KATIKATI YA WATU, UTAFUATWA WEWE TU..!!!" Ndiooooo... Hutakiii..!!??? Ahahahahahaha... Jumamosi
njema MUUNGWANA.
Wee jidanganye!!mkuu nakumbuka kipindi nasoma elimu ya msingi kijijini kuna wale wanaopenda kukaa kwenye mti kama furushi la mpira walikuwa karibu na uwanja!!sasa mwanafunzi mmoja akabeba gunzi la mwindi sii akawagonga!!wakadondoka furushi kama kilo tatu hivi!! Huwezi amini shule ilifungwa gafla kwa muda wa siku tatu maana mle uwanjani na eneo lote la shule walihamia wate hadi majirani sio mbuzi mbwa ng'ombe mazizini ule mziki waliuchezea!!
nyuki huwa wanao uwezo wa kunusa harusu na wanaweza kunusa hadi zaidi ya kilomita 3, na pia wanaweza kunusa chakula hatari na maji. sasa wakati wa hatari nakwambia hata kama ukiingia kwenye bahari eti uzame usitoke watakusubiri hapo na utachezea tu chaa mtema kunii.