Usicheza na nyuki wewe; Ona maajabu yao

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Uwezo wa
MUNGU, hakika unajidhihirisha kupitia hili. Hivi unajua
kwamba "NYUKI HUWEZA KUTOFAUTISHA SURA ZA
BINADAMU, YAANI UKIWAFANYIA FUJO BASI FAHAMU
UKIWA KATIKATI YA WATU, UTAFUATWA WEWE TU..!!!" Ndiooooo... Hutakiii..!!??? Ahahahahahaha... Jumamosi
njema MUUNGWANA.
 
Wee jidanganye!!mkuu nakumbuka kipindi nasoma elimu ya msingi kijijini kuna wale wanaopenda kukaa kwenye mti kama furushi la mpira walikuwa karibu na uwanja!!sasa mwanafunzi mmoja akabeba gunzi la mwindi sii akawagonga!!wakadondoka furushi kama kilo tatu hivi!! Huwezi amini shule ilifungwa gafla kwa muda wa siku tatu maana mle uwanjani na eneo lote la shule walihamia wate hadi majirani sio mbuzi mbwa ng'ombe mazizini ule mziki waliuchezea!!
 
Huenda walikuwa hawajammark sura huyo jamaa, Uwezo wa nyuki huwa wanakukariri hadi harufu ndomana ukijipulizia perfuume kali wanaweza wakakudandia
 
Uwezo wa
MUNGU, hakika unajidhihirisha kupitia hili. Hivi unajua
kwamba "NYUKI HUWEZA KUTOFAUTISHA SURA ZA
BINADAMU, YAANI UKIWAFANYIA FUJO BASI FAHAMU
UKIWA KATIKATI YA WATU, UTAFUATWA WEWE TU..!!!" Ndiooooo... Hutakiii..!!??? Ahahahahahaha... Jumamosi
njema MUUNGWANA.
Shikamoo brother.. Napita tu
 
Siyo milioni saba kweli au nimesahau? Maana siku hizi ni mwendo wa kukomesha wanyonge si mtaani si mitandaoni kote tunakomeshwa.
Hahahah Bado namba zinakolezwa ili tuzisome vizuri
 
Nyuki pia wanauwezo wa kutambua alama na kuzitofautisha..hata herufi kama A,B,C,...........................Z ndio maana mizinga yao kwenye bee house inawekwa alama na hawajichanganyi kuingia mzinga mwingine kwa sababu wanakua wamezikariri
 
Kuna hili dume likifika kileleni wakati wa tendo la ndoa hupasuka korodani pia ni maajabu..
unaonaje na sisi binadamu ingekua ivyo??? wengi tusingefanya kabisa au tusingekifikia kilele kwa kuogopa kufa
 
vilevile nyuki dume hupasuka korodani zake baada ya kufika kileleni na kufa hapo hapo.
 
Back
Top Bottom