Usicheke wala kusmile

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
IVI KUNA WATU WANAFANYA YAFUATAYO.

1. WANAOMBA MUNGU KABLA YA KUMEGA TUNDA NA WAKIMALIZA WANAMSHUKURU PIA.
2. WANATUNZA RECORD KILA WAKIKUTANA KIASI KWAMBA WANAWEZA KUJUA TOKA WAANZE WAMENANIHI MARA NGAPI
3. KILA MMOJA ANAMSHUKURU MWENZAKE NA KUMPOMNGEZA KWA KAZI NZURI BAADA YA KUNANIHII.

NAAMINI KAMA YUPO HUYO MTU BASI ANITAFUTE NIMPE BANZOKA ZAKE.
 
Kuna watu hata hawawakumbuki walio-do nao!!!
 
hahaaaaaaaaaaaa u made ma day boy
 
Sijacheka ila kusmile nimeshndwa kujizuia.
 
mie namuomba na kumshukuru M/mungu kabla na baada ya kubanduana tu. Nalog off
 
Hiyo #3 mkuu, mbona ni ya kawaida tu. Kwani huwezi mwambia mchuchuuu wako "Asante sana kwa penzi motomoto na..............."! Nimeshindwa kumalizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…