Usicheke tafadhari Maisha hayafanani...

Ni bora hiyo, wazee wenzangu mnakumbuka zile chupi aina ya VIP zilikuwa zinakatika halafu zinapanda mpaka mabegani hasa wakati wa kucheza mpira na uwe team yenu imeanza kufungwa ikawalazimu kuvua mashati, ila kweli tumetoka mbali
 
...teh teh teh....bora sijacheka mie.
 
aiseeeee babaagu bora nirudi jela jela haa bora nirudi jela
 
Akapime acidity tumboni, hiyo ni diagnosis ya awali kuwa akipumuwa hutoa na hewa yenye acid.
 
Naomba kuuliza kwanini sehemu nyingine zote zipo kamili ila hapo katikati tu, au ametoboa kwa makusudi maalumu? si mnaona wenyewe alichotoka kufanya punde tu.
Haya bwana jivalie nguo zako uende huku watu wanakuchungulia.

Mbona unamwuliza jamb maswali magumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…