Watu wawili walikuwa wanakimbili treni, mmoja akaifika na kudandia. Aliyeikosa akabaki anacheka saaaana. Watu wakamuuliza "mbona mwenzako kaipata halafu ww unamcheka?"
Akawajibu "Inanibidi nimcheke, eti mm mwenye safari nimeikosa, yy anayenisindikiza kadandia na tiketi ninayo mwenyewe"