Usicheke sana na mdogo wako wa kike utakuja kunishukuru

Mdogo wa kike ni ndugu mzuri tu, naongea hiki nikiwa na ushahidi. Ukicheka sana na kuleta mazoea kwa mdogo wako wa kike, hatokuheshimu kamwe. Ataleta wanaume hapo kwenu na atawakalia vichwani wote.

Kuna siku kaka yangu aliambiwa "hebu acha ufala, acha kumnyanyasa huyo mfanyakazi", kisa chenyewe kaka alikuwa anamuonywa hg asirudi usiku, kwani alikuwa akitoroka usiku.

Kaka ana miaka 32 na huyu mdogo wetu ana 26. Ilikuwa ni aibu mno, kwa kuwa amemzoesha mwenyewe basi akaanza kucheka cheka tu baada ya kutukanwa.

Na ndio maana mimi sicheki kiboya na dogo wa kike, na ananiogopa, kwangu nataka iwe hivyo. Yaani ni full ukauzu tu, bora hivyo heshima ipo na naiona.

#MazoeaHuondoaHeshima

Hata kama ni ndugu yako lazima akuogope, acha kujiachia achia kiboya boya wanawake wengi hawana adabu na hawana heshima kwa maboya hata kama ni kaka yake, note that.
Umenena vyema utamsaidia sana dada yako. Unamhepusha na mengi.
 
Back
Top Bottom