Samahani,tayari nimerekebisha mkuu.Mkuu ongeza font size tafadhali.
Kuna rafiki yangu anafanya kazi Umoja wa Mataifa alienda mogadishu,Somalia kikazi kwa siku 3 karudi juzi anasema pamoja na vita vya miaka 20 muda wote alipokuwepo Mogadishu umeme ulipatikana kwa uhakika na katika tembea yake kaona flyovers mbili zilizojengwa miaka ya 80's.,
Kilinishangaza kidogo kama nchi isiyo na amani wanaweza kupata umeme wa uhakika sisi tunashindwaje ?[/COLOR]Ni sawa na ni vizuri wewe unataka nini! au unataka linganisha na tz!
[/COLOR]Ni sawa na ni vizuri wewe unataka nini! au unataka linganisha na tz!
Hivi hamuoni kwakuwa bunge lipo mapumziko kuna umuhimu wa kumtuma Ngeleja Mogadishu aende akaone wamewezaje kuendelea kutoa umeme katika mazingira magumu naye kushindwa katika mazingira haya ya 'amani na utulivu' ?Hadi mzee wa Upako kaona viongozi wa Tz vichwani mwao kuna viroboto! Hakukosea.
inakaribia miaka 10 tunaishi kidharura dharura tu.Kwani hamfahamu kuwa hapa BONGO tatizo la umeme ndo dili kuu la I**LU?
sijui kama umesoma hapo juu UTANI na UDAKU,mbona sisi hutujashangaa wewe kusahau password yako ya JF ?nashangaa sijacheka.tatizo ni langu au?
Hii bana ni ukweli mtupu nimeiweka hapa kwakuwa ni kichekesho Mogadishu upatikane umeme wa uhakika na hapa kwetu pamebadilishwa jina na kuitwa Tanzagiza.jamani,, ivi r u really serious ama mnatani????? Kama ni kweli naomba mada hii ihamishiwe jukwaa la siasa, maana it is a very important issue