ilimradi watoto wanakimbizana kwenda toilet
hahaha u cant be serious kazi ya kiume hiyo nitaweza wapi
so nibebe hata zege sio
Hapa inategemea na fani uliosomea, thermometer inakwenda kwapani ndio kunajoto, kama umesomea BANKING, tena ni ke na zege vitu viwili tofauti
Maazimio ya Beijing si ni usawa, kwa hiyo hakuna kazi ya mwanaume au mwanamke
ilimradi watoto wanakimbizana kwenda toilet
Kwapa ....
itabid msitishe kale kamchakato kenu ka haki sawa
aisee hii kazi siyo