Usibishe,inaburudisha sana.

Inasikitisha na kutia simanzi unapokuwa kwenye dimbwi la mahaba na dem mkali.........baadaye unatambulishwa kwamba ni ndugu yako!
 
Inafurahisha sana pale unapomuona demu aliyekubwaga kwa manjonjo yote anapita na njemba lenye sura mbaya lililochoka!
 
inaburudisha sana unapogundua kumbe kuna jukwaa la kupunguzia stress ukishatoka jukwaa la siasa
 
inahuzunisha pale unapofariki kwenye folen ya mshahara wako wa kwanza toka uanze kazi.
dada hii ilimtoke arafiki yangu yaani anaanza kazi j3 akafariki jmosi na alikuwa amekaa mtaani 2yrs
 
Inafurahisha sana mnaposikia serikali ambayo mmeichoka imepinduliwa na jeshì
 
inafurahisha sana unapokutana na mpenzi wako wa zamani aliyekutosa kwa mbwembwe na matarumbeta akiwa choka mbaya hata nauli ya daladala hana

Hahahaaaa, hapo itakuwa ni full kumuoshea!
 
inakera pale unapoenda nyumbani kwa mtu halafu simu yako inakuwa haina network - kila ukitaka kupiga simu hadi utoke nje!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Chimala Mbeya.
 
Inafurahisha kumpa mimba dem unayempenda kwa moyo wote.

Near by Nane nane Mbeya.
 
Inafurahisha sana unapopata sms ya demu unayemfukuzia hlf anakuzengua ikiuliza ''leo mchana unakula nn?''
 
Inafurahisha pale unapoamini Mungu yupo na siku unapokufa unamkuta.

Near by Ileje Mbeya.
 
kinyume chake huwa inakela sana pale unaposhituka na kugundua una kama dak 30 kabla haujafika muda wa kuondoka kwenda kwenye mishe
unagundua bado una masaa mawili zaidi ya kuendelea kulala kabla ya muda wa kuamka
 
Imenifurahisha sana pale nilipo gundua jamii forum member wengi ni madogolas hivyo nipen shikamoo wadogo zangu.

Near by Soweto Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…