Usibishe huu ndo ukweli

nafurahi wangu anapotaka kunikiss lazima afanye kama anaruka alafu inakuwa simple kushika kiuno sio demu lirefuuu hatariii
 
Mizigo mnayopenda itabebwajeeee??? Ukiuliza swali jarbu kujijibu kwa simple logic
 
Sasa unatakaje si ushampenda uyo uyo mfupi ,,tuliza moyo tuu ndugu
 
mkuu mbona warefu wapo wengi sana... siku moja nimeingia pale jitegemee nimekutana na demu anacheza netball yaan huwez amini ule mpira yeye harushi kwenye nyavu anafanya kupeleka tu mkono kama anafungua bomba la maji... raia wanahesabu goli...!!!!
 
Sijui mtoa mada unapata wapi biroba wakati vimepigwa marufuku. Labda kama haupo bongo
 
mkuu mbona warefu wapo wengi sana... siku moja nimeingia pale jitegemee nimekutana na demu anacheza netball yaan huwez amini ule mpira yeye harushi kwenye nyavu anafanya kupeleka tu mkono kama anafungua bomba la maji... raia wanahesabu goli...!!!!
Atanizidi Mimi Nina 6'8 futi?
 
Sio wanawake tuπŸ™ hata wanaume warefu wameanza kuishaπŸ˜›..inshort kizazi cha MAFARAO kinaanza kupotea taratibuπŸ™...
Hata ivyo urefu haunogi bwanaaaaπŸ˜‰...ila u CONGOMAN nao ndo m baya kabisa...πŸ˜€
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…