Usibishe huu ndo ukweli

i see kwa urefu huo nenda kiwandani kaagize kitanda special maana vitanda sita kwa sita huwezi kulala
 
HELLO MADAMU,UKO SAHIHI,WATAALAMU WA PSYCHOLOGY WANAASEMA HIVI WATU WAFU WENGI WAO HAWANA AKILI,AF HUWA HAWANA SIRI,HAWAJIAMINI,KWAHIYO WANAWAKE WALIOWENGI HAWANA AKILI ZA KUTSHA,WENYE AKILI NI WACHACHE SANA,NAJUWA MTACHARUKA NAKUTUKANA ,NASEMA WENYE AKILI NI WACHACHE SANA DUNIANI,BAHATI YANGU MIMI MAMA YANGU ANA AKILI SANA,
 
Sasa kama ndivyo Mungu alivyo waumba wafanyaje? Waedit basi wawe warefu kama wewe
 
Duuh! Unatafuta msichana mrefu hivyo ili iweje?
Mzee wangu ni 6.5 na mama 4. Na tumetoka height nzuri tu... Mdogo angu wa kiume ni 6.0
Anyway! Ni preference ya mtu. Nna cousins wakike wenye 6. Warefu wapo mkuu
 
Yeye kajiona mrefu haangalii wanaume wenzake vimo vyaoooo?! Yaani mdada ukiwa na hata 5.8 asilimia kubwa ya wanaume unaokutana nao unajikuta umewapita urefu! Yaani mimi ndo sijawai kua na mwanaume mrefu zaidi yangu
 
Duuh! Unatafuta msichana mrefu hivyo ili iweje?
Mzee wangu ni 6.5 na mama 4. Na tumetoka height nzuri tu... Mdogo angu wa kiume ni 6.0
Anyway! Ni preference ya mtu. Nna cousins wakike wenye 6. Warefu wapo mkuu
Hyo cousin wako ananifa hyo VIP ameolewa au yupo available?
 
Swali lako halina tija kama unaweza muulize muumba kwa sababu wewe huwezi kuumba hata sisimizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…