Kasali acha kuuliza maswali ambayo hayana logicHabari za jumapili wana JF I hope iko poa
Hivi kwa nini wanawake wengi ni wafupi hivoo jamani ?asilimia 85% ya wanawake ni wafupi.
Mimi Nina urefu wa Futi 6.8 wanawake kama hawa ukiwatafuta hapa Tanzania wanahesabika labda wanywaruanda ndo warefu wanawake wengi range yao ni Futi 4.5,5.5, mpka 5.8 sasa Mimi Nina Futi 6.8 Nina msichna Wang ana Futi 5.8 wewe huoni nmemuacha sana???. Kwa nini wanawake hamrefuki???
Kwa hyo nadanganya siyo?Ulicho kiandika unakijua au umeandika ili uonekane umeandika
Kweli mkuu umeongea ukweli mtupuuKiufupi watanzania ni wafupi especially wa kanda za pwani uko ni wafupi sana warefu wengi wanapatikana kanda ya ziwa rukwa kidogo na arusha
Ila kiusawa mwanamke hatakiwi kuwa mrefu sana zaidi ya mwanaume hata ukiangalia wazungu utakuta asilimia kubwa ya wanawake ni wafupi kulinganisha na wanaume
Tafakari ulicho kiandika kama kinaeleweka au hakielewekiKwa hyo nadanganya siyo?
Kama hakielweki basi kaa kimyaTafakari ulicho kiandika kama kinaeleweka au hakieleweki
Hahahhaha naunga hoja yako mkuuUlicho kiandika unakijua au umeandika ili uonekane umeandika
Ndio Mimi Nina Futi 6'8Kama ni kweli uko 6'8 basi wewe ni mrefu sana hata kwa standards za wazungu ambazo unafosi vimwali vyetu viendane navyo
Jibu ninalo ila naomba uingie Google andika 174cm to feet then leta mrejesho unafeet ngapi nimekuzidi kidogo174 Ndo Futi Ngapi
Dah,upuuzi mwingine hauna kifani asee.Kwa hyo nadanganya siyo?
U short man stay calm don provoke shiiit.Dah,upuuzi mwingine hauna kifani asee.