Dr. ZeroZero IQ apewe udaktari wa heshima
Wewe ulimpata kahaba ambao anao waongelea bwana zirooo sio mkeNakubaliana nawe kea asilimia zote kwasababu nina mifano na ishanitokea.
Nilioa na mke wangu nilikua namchakata vizuri sana nilivoyumba kiuchumi lakini hatukukosa pesa ya kula mke wangu alibeba kila kitu mpaka nguo zangu kaondoka mpaka sasa anaishi na mwanaume mwingine nina rafiki zangu watatu nao yamewakuta.
TUTAFUTE PESA WAUGWANA
Evelyn Salt kwanini Bado tunajumbe za namna hii humu ndani..? Fanya kazi yako kwa weledi mama..😂Endelea kujidanganya
Pesa na mapenzi ni naji na mafuta
Nani huyo kakudanganya zaidi? Mapenzi na pesa ni kama samaki na maji.Endelea kujidanganya
Pesa na mapenzi ni kama maji na mafuta
Hujui unachohitaj..... Yaani unahela afu mapenz yakuteseNina pesa ila yananitesa wee bwana zirooo sema hivi ukiwa na pesa madanga makahaba kama wote hiviii ila sio mwanamke wa kuitwa mpenzi wa dhati
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
tupeane michongo ya kupiga pesa sio za kula na kulipa kodiHuo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu,
Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa,
Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake,
Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye pesa ata kama anatumia kidole atakuacha na kwenda zake.
Tutafute pesa mademu wazuri tutawakuta tukiwa nazo,
Sasa hivi tuwachakate tu na kusepa kwenda kutafuta shekeli.
Cc Zero IQ