Usiache demu Guest

Usiache demu Guest

Huyo alikuwa malaya muuzaji mkuu usijisifie kabisa kuwa demu kaachwa na mshkaji

Mkuu hata kama ni malaya, ninauzoefu na kazi hizi. Mwanamke kumuacha Guest hasa kwa mji wa Dar es salaam ni risk kubwa sana. Aidha wakware kama siye yujipigie au amuite mshikaji mwingine aliyekaribu. Hii ndio Dar es salaam
 
Uko vizuri sana kwenye utunzi big up " una viji misamiati fulani hivi kwa sisi wapenda masimulizi huwaga vina tusuuza roho ... ijapo kuwa hii story yako sijaipenda "....
 
Hhahaaa!! Mkuu usiache manzi Lodge ni hatari hasa mechi uki-underperform
 
Hahaa chizi sana wewe " swala la performance " kwenye game " lina tegemea na mvuto wa mwanamke ".... Fahamu kuwa mwanamke unaye muona wewe mzuri kuna wengine wana muona wakawaida tu " kutokana na status aliyonayo .. so huwenda jamaa alimuona kuwa ni demu wa hovyo tu ' so akamtumia kutoa genye
 
Vita dhidi ya ukimwi ni ngumu sana, mtu humjui hata umefika umekula tu. Condom ulitoa wapi?
 
Hahaa chizi sana wewe " swala la performance " kwenye game " lina tegemea na mvuto wa mwanamke ".... Fahamu kuwa mwanamke unaye muona wewe mzuri kuna wengine wana muona wakawaida tu " kutokana na status aliyonayo .. so huwenda jamaa alimuona kuwa ni demu wa hovyo tu ' so akamtumia kutoa genye

Nakubali Mkuu, maana hata mimi baada ya kumwaga ugwadu nilimuona kama Gigy mapesa
 
Back
Top Bottom