Ushuru wa magari >2002 Dar Es Salaam Port

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Habari JF

Ningependa kujulishwa...Gharama na mchakato mzima wa ushuru wa magari ukinunua kutoka nje....kwa mfano CFI ni $8800 mpaka Dar es Salaa Port....Gharama mpaka unatoa nje ya port unaendesha inakuwaje....wengine wanasema ni 50% ya CFI...Wengine wanasema ni 62.5 ya CFI...Which is which?

Then wanasema TRA wao nao huwa wanathaminisha gari kwa wanavyo jua naweza jua mchakati mzima huo wa kuthaminisha?Ni wakiaje?

Natanguliza...Kuna Ford yangu inakuja kwa bei hapo juu sasa sijui mpaka kuingia na kuitembeza itakuwaje bei ya ujumla.

Shukrani.
 
Gonga hapa then jaza kila kinachotakiwa utapata majibu kisha ongeza milioni 2 au tatu ziwepo tayari ukishapata jibu baada ya kujaza details.
 
Back
Top Bottom