MOKILI MOBIMBA
Member
- Aug 21, 2011
- 25
- 7
Hata mimi inanishangaza ushuru ni mkubwa mmno sijui wanataka waotu ndio watembelee magari mazuri auyaani, gari imenunuliwa USD 9500 halafu ushuru uwe 11500? Duh, only in Bongo
yaani, gari imenunuliwa USD 9500 halafu ushuru uwe 11500? Duh, only in Bongo
Wadau nimeagiza gari BMW X5 ya mwaka 2001Nimenunua USd 9500. usafiri nimelipa USd2000 itawasili muda si mrefu.Kwa uzoefu wenu wadau nijiandae Tsh ngapi gari niwe nalo street. kwamaana ya kodi zote.Nawasilisha.
Nitakutafuta kiongozi unisaidie.andaa milioni kama kumi na moja za kitanzania,ukishindwa nitafute
Nitakutafuta kiongozi unisaidie.
d) Motor vehicles with Import duty ,Excise Duty and VAT but aged more than 8 years
Vehicles with more than 1000cc but not exceeding 2000cc rate is 5% Excise duty, and those with more than 2000cc rate is 10%
I/D = CIF * 25%
EXA = (CIF+I/D) * 20%
EX = (CIF+I/D) * 5%
VAT = (CIF+I/D+EXA+EX) * 18%
hizi culculation niliwahi kuziona TRA ila tatizo mi hata sizielewi nahitaji ufafanuzi jamani.
umeshindwa? ina maana uliagiza bmw bila kujua ushuru? anyway, hongera sana Mr. Mobimba, i love bmw.
THE ULTIMATE DRIVING MACHINE
Sijashindwa mkuu isipokuwa gari lenyewe halijafika bado lipo chumvini.umeshindwa? ina maana uliagiza bmw bila kujua ushuru? anyway, hongera sana Mr. Mobimba, i love bmw.
THE ULTIMATE DRIVING MACHINE
Sijashindwa mkuu isipokuwa gari lenyewe halijafika bado lipo chumvini.