zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Hbr Wana jf,Leo naomba kuwageukia wakusanyaji Wa Ushuru wa 200 pale getini una manufaa gan kwa watumiaji wa Stand hyo.
Watu wanalipa ushuru kila leo lakini Panazidi kuwa pachafu,Wizi umekithiri.,hali ya hewa mbaya....
Hivi Hi nchi imeuzwaa au...
Watu wanalipa ushuru kila leo lakini Panazidi kuwa pachafu,Wizi umekithiri.,hali ya hewa mbaya....
Hivi Hi nchi imeuzwaa au...