Ushuru raum new model

INSURER

Member
Feb 8, 2013
36
25
Wanajamvi,

Kwa mtu aliyeagiza Toyota Raum ya mwaka 2004 ushuru unaweza kuwa kiasi gani?
ningependa ushuhuda wa mtu aliyelipa ushuru hivi karibuni.
Asanteni.
 
Wanajamvi,

Kwa mtu aliyeagiza Toyota Raum ya mwaka 2004 ushuru unaweza kuwa kiasi gani?
ningependa ushuhuda wa mtu aliyelipa ushuru hivi karibuni.
Asanteni.

andaa km 3.8 milion ivi ila uwe makini na wakala wako vijana hao ni wajanja kwan uwa wanainflate gharama kwa faida zao
 
Wakuu ukifatilia jedwali lao kama nilivyoweka hapo chini kodi ni around 3,000,000 lakini bado unakuta unalipa zaidi ya hiyo kama mkuu KASHOROBANA alivyosema.


Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io)
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price
22,000
Depreciation
70%
Freight
Customs value
3,409
FOB Value
3,409
Import Duty 25%
852
Excise Base
4,262
Excise Duty 5%
213
VAT Base
4,475
VAT 18%
805
Total Taxes
1,871
Total Taxes in TSHs
2,993,278
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom