Msaada wadau Mwenzenu nimeagiza gari used japan Naomba yeyote muelewa wa hizi kodi mpya anipe ufafanuzi Nimeingia katika website ya tra nimeshindwa kukitumia kile kikokotozi chao please kwa anaefahamu mfumo wa kodi hizo mpya anisaidie ili nijipange kuhusu fedha za kulikomboa. Aina ya gari ni NISSAN ELGRAND ya MWAKA 1998 cc3150 cif3925usd fob 1760usd nawakilisha
I have tried going through the TRA list of used cars but can't find this model. If you manage to get it let me know and will be able calculate the approximate amount of tax you can expect to pay.