MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,356
- 3,627
Mkuu naomba ufafanuzi katika masaa hayo ma8 au ma4 ya kula yaan unakulaje?...yaan unakula mfulululizo au unakula unapumzika lkn iwe ndani ya mda huo masaa 4/8...na ukifunga unavyoanza kufungua ule vyakula vilaini kama vp
Maana nataka kupungua nina kilo 73 nataka nifike 63/60
Na kisha tunaomba utujuze jinsi ya kumantain huo uzito ukishapungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana nataka kupungua nina kilo 73 nataka nifike 63/60
Na kisha tunaomba utujuze jinsi ya kumantain huo uzito ukishapungua
Sent using Jamii Forums mobile app