Ushuhuda wa namna nilivyopungua uzito

Ushuhuda wa namna nilivyopungua uzito

Haaaaaaaaaaaa Ni kweli kabisa mkuu nimeliwa hela yangu hivi hivi na maunga ya kupunguza uzito

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Yaani nashangaa mkuu watu wamepoteza hela nyingi sana kwaajili ya kupungua wakati vitu simple tu.

Sir dreamcheaser
 
Nataka nifike kilo sabini kumbe wengine mnataka kuzishusha chini ya sabini!! Wakati Mimi nakomea 69.0 halafu mtu ana 72 anataka ashuke😂😂
Kweli hatufanani
Daah mkuu siku nikifika izo kilo zako ntafanya party maana naishiaga 71 napanda hadi 76
 
Mkuu ushauri wa bure tu ukianza kula usipende kuanza na wanga.wewe kula vitamini nyingi na protein ndo itapendeza.

Sir dreamcheaser
Nitafanya hivyo, ila nina shida ya kiungulia na kutopata choo, toka nilipoanza kula hivyo kiungulia sina, choo bado changamoto, nataka nikanunue producti za stem cell nione kama zitanisaidia
 
Angalia wapi unakosea ndo urekebishe sometime nenda kijijini kashike jembe uone unavyopukutika[emoji23][emoji23]
Labda kuwe ni kijijini ambako kuna msosi wa maana halafu hakuna zile za kuamka saa kumi na jembe la ng'ombe! Mbona kilo zitayeya tu mpk utaanza kuzitamani Tena[emoji23][emoji23]
Nimefanya jitihada nyingi nadhani kwa kuwa nishaondoa kilo 22
Hivyo naona mwili umefika kikomo

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Kaka jaribu utakuja kunambia na kula unapohisi njaa

Sir dreamcheaser
Ni formula nzuri ila ni mbaya kwenye walionaupungufu wa vitamins flan flan

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Nitafanya hivyo, ila nina shida ya kiungulia na kutopata choo, toka nilipoanza kula hivyo kiungulia sina, choo bado changamoto, nataka nikanunue producti za stem cell nione kama zitanisaidia
Sawa mkuu

Sir dreamcheaser
 
Ngoja nijaribu hiyo formula maana kila ninaekutana nae baada ya salamu ni umenenepa yaani nachukia
 
Ngoja nijaribu hiyo formula maana kila ninaekutana nae baada ya salamu ni umenenepa yaani nachukia
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umenichekesha sana,mimi huwa nachukia mtu akinambia hivyo sema basi tu.fuata muongozo uliotolewa humu hope utafanikiwa.usikosee tu

Sir dreamcheaser
 
Intermittent fasting inahitaji will power [emoji17] Naanzaga then naishia njiani.
Nilianza na 16:8 nikaweza nikasogea 17:7 kila mara naongea lisaa na pia siku nyingine nafanya OMAD.
Japo sizingatii kihiiivyo ila nimepungiza kilo kadhaa .
Nataka nianze upya seriously but it sure works.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komaa mkuu

Sir dreamcheaser
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umenichekesha sana,mimi huwa nachukia mtu akinambia hivyo sema basi tu.fuata muongozo uliotolewa humu hope utafanikiwa.usikosee tu

Sir dreamcheaser

Nimeanza leo na kilo 85, nitaleta mrejesho kwenye huu uzi baada ya week moja kuwa nimetoa ngapi.
 
Back
Top Bottom